Hahahahhahhah zaidi ya kule bahari beach, huko bei zake vp, tafuta jina lake na Arusha sehemu ganiNiko Arusha now, jamani kuna kijiwe nimeletwa na braza angu hapa themi karibu na ofisi ya madini!
Toka nizaliwe sijawahi ona kitimoto kama ile[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahha tester wetu unafanya kazi nzuri nikiwa Arusha nitaenda hapo aiseeHapa karibu na hospital ya AICC
Kuna kibao cha shangwe food blah blah
Mungu wangu kitimoto ya hapa dar nzima hakuna!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Rudi's Farm wanakalishwa mara mia[emoji134]Hahahahhahhah zaidi ya kule bahari beach, huko bei zake vp, tafuta jina lake na Arusha sehemu gani
Mh sounds more hyperboleMkuu Rudi's Farm wanakalishwa mara mia[emoji134]
Wana aina tofauti za mapishi,sasa kuna kitimoto inaitwa Bombay mama yangu unaweza uza shamba
Na kilo ni 12 elfu tu
Wakuu msipime!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaza narudia tena yaan mi ni mzururaji sana wa vitimoto lkn pale nimesanda[emoji119][emoji119]Mh sounds more hyperbole
Yan mara mia ya Rudis!
The only thing to fear is fear itself
Nimefika Chuga Mwaka jana mara Mbili,niliuliza wenyeji wangu mara nyingi wanipeleke chimbo kali za kitimoto ajabu sikuwahi pelekwa wala tajiwa hiyo..Mnaza narudia tena yaan mi ni mzururaji sana wa vitimoto lkn pale nimesanda[emoji119][emoji119]
Haki sijawahi kula kitimoto kama ile
Siku ukitia timu hapa arachuga utanidhibitishia
Wauza madini, matajiri wote Arusha wanashinda hapa!
Leo yenyewe narudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo D..
Ni haki yao kabisa kutopajua kwa sababu, hili eneo limezungukwa na wafanyabiashara wa madini , so ukiwa unapita barabarani utahisi ni businesaa ndo ziko pale kumbe vyote kwa pamoja, madini na hotchair[emoji16]Nimefika Chuga Mwaka jana mara Mbili,niliuliza wenyeji wangu mara nyingi wanipeleke chimbo kali za kitimoto ajabu sikuwahi pelekwa wala tajiwa hiyo..
Basi next time nitapatafuta mwenyewe!!
The only thing to fear is fear itself
Nikaishia kwenda kwa Mromboo[emoji3]Ni haki yao kabisa kutopajua kwa sababu, hili eneo limezungukwa na wafanyabiashara wa madini , so ukiwa unapita barabarani utahisi ni businesaa ndo ziko pale kumbe vyote kwa pamoja, madini na hotchair[emoji16]
Bonge moja la chimbo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh kule kwenye mbuzi?Nikaishia kwenda kwa Mromboo[emoji3]
The only thing to fear is fear itself
Ni huko kwenye mbuzi ila wenyewe wanapasifia japo niliona vurugu tuTeh teh kule kwenye mbuzi?
Mbayaa mbuzi yao kama nini, nilikula jumapili last week kabla ya hili chimbo, hadi nikajuuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi leo ule sausage nusu na kawaida nusuNipo gheto ninahifadhi njaa ili saa kumi niende rudys farm[emoji851][emoji851][emoji851]
Nitaweza kumaliza?[emoji15][emoji15][emoji15]
Rudys mbaliNitaweza kumaliza?[emoji15][emoji15][emoji15]
Hapo sawa![emoji28][emoji28][emoji28]Rudys mbali
Unakula kimoja wapo kingine unafunga ukifika home unakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Arusha now, jamani kuna kijiwe nimeletwa na braza angu hapa themi karibu na ofisi ya madini!
Toka nizaliwe sijawahi ona kitimoto kama ile[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app