Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Nitaenda hapo jeshini leo nikaone mambo yao, nashukuru sana kwa ushauri mkuu.
 
Kwa Mpiganaji Rujewa ni kiboko yaani, lakini funga kazi ni kwa Mapunda Igawa maeneo ya Fulumi hapo unapata kitimoto ya kubanikwa na kuroast mchicha kwa pembeni.
 
Madahii haikuhusu
 
siku utaenda kutibiwa moyo ndo utajua hii mada inanihusu. hii kiti moto ni source mojawapo ya magonjwa ya moyo
muumbaji wake kasema ni najisi( harmful) wewe ni nani upingane naye
MKUU WEWE UNAOGOPA KIFO???????? ACHA PROPAGADA ZA KIDINI
 
siku utaenda kutibiwa moyo ndo utajua hii mada inanihusu. hii kiti moto ni source mojawapo ya magonjwa ya moyo
muumbaji wake kasema ni najisi( harmful) wewe ni nani upingane naye
Nawajua watu kibao ambao hawali kitimoto na wanaugua magonjwa ya moyo, hii nayo unaielezeaje[emoji848][emoji848]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nipeni machimbo ya Kigamboni Mi najua Shamba Pub Na Rombo View attachment 1595690
Mwambie Mtengenezaji aongeze (Pilipili ya kupika) na pia atengeneze style fulani ya kachumbari ambayo itajumuisha (Vitunguu kuvikatakata vipande vidogo +pili pili zilizokatwa vipande vidogo + mchuzi wa ndimu au aweke Vinegar) kwamba vinegar inakuwa kama mchuzi ambapo vipande vidogo vidogo vya kitunguu na pilipili zipo ndani yake.

Mtainjoy sana wateja wake, Take it.
 
Hayo mambo nayapata chimbo gani mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…