Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Ni kinyerezi sehemu gani?Ni karibu na stand ya daladala?
Sina uhakika na kituo cha daladala ila ni maeneo ya kinyerezi shule ya msingi, insta wapo pia, andika tu kitimoto tekenya, huwa wanafanya delivery pia
 
Then baada ya Mlooo Heavy Tusogee IBUNGU LOUNGE Pale pale Mabibo Kwa Vibes zaidiiiii....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji117]cocastic

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…