Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kitimoto ya kuchoma ina balaa.....[emoji91]
Halafu inachonifurahisha hii kitu, baada ya kuila kifuatacho ni maji tu inaleta kiu.

Nashauri watu tusiopenda kunywa maji tule kitimoto sana. More [emoji200] more water
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitimoto ya kuchoma ina balaa.....[emoji91]
Halafu inachonifurahisha hii kitu, baada ya kuila kifuatacho ni maji tu inaleta kiu.

Nashauri watu tusiopenda kunywa maji tule kitimoto sana. More [emoji200] more water
Maji yapi? haya haya ya kilimanjaro[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi huyu nisinywe bia? Yaniiiii nisilipe kodi!? Mi mlipa kodi [emoji16]

Baada ya kuila siku nzima nahisi kiu nakunywa maji muda wote
Nilitaka kushangaa ujanja wote huo usinywe

Niko Rudy's farm now karibu[emoji39][emoji39]
IMG_20210626_180515_7.jpg
 
Zipo nyuma ya sheli mpya hapo msamvu. Sheli inayofuata baada ya hiyo ambayo daladala za mikese zinasimama ukiwa unarazama uelekeo wa nanenane. Kwa daladala hicho kituo kinaitwa maraha. Fuata hiyo barabara ya vumbi
Nashukuru Mkuu nimeshaenda kama mara mbili, kitimoto yao ya kuchoma wako vizuri sana,ila kwenye rost sijawaelewa kwa kweli!
 
Nipo Kerege- Bagamoyo, ukipanda kilima kabla hujafika kituo Cha Kerege - CCM, pinda kushoto kuna Kilimani Pub (matako bar) utapata kitu safi.
 
Tabata Segerea pale kituo cha Sheli unaingia shoto kama unaenda chocho la kuibukia S'taki Shari kuna jamaa aitwa Temba pale katikati....ana kitimoto ya makange sio ya dunia hii!
Duuh nilikuwepo jana hapo[emoji39][emoji39]

Sasa hivi natafuta machimbo mapyaa
 
Back
Top Bottom