Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Morogoro -Nyuma ya Msamvu kuna jamaa anaitwa Kimaro/Kimario kuna kitimoto safi ya kuchoma
Nyuma ya msamvu kule sheli au hapo kwenye ile bar panapo simama daladala za mikese?
 
Mi mgeni ofisi za immigration moro ziko sehemu gani?
Zipo nyuma ya sheli mpya hapo msamvu. Sheli inayofuata baada ya hiyo ambayo daladala za mikese zinasimama ukiwa unarazama uelekeo wa nanenane. Kwa daladala hicho kituo kinaitwa maraha. Fuata hiyo barabara ya vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…