Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

carrefour hypermarket emirates mall.... ila kwa nje wameandika non muslims only
 
We jamaa hakikisha unapita sinza kwa remi upande wa pili hapa ulizia wap kitimoto choma wanauza kg 18000 nenda weka oda nakuapia hautarud kwenye kijiwe chako

upande wa kualalumpa au huko kwingine.
 
Kwa wale ndugu wa Mwanza, wanaweza kwenda Mkafaida Farm / Kwa Kipipa - Kiseke PPF. Kitimoto yao iko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…