Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Naunga mkono hojaTena sana mkuu ukitoa papuchi kitu kingine kinachoongozwa kupendwa na walaji ni Kitimoto tu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaTena sana mkuu ukitoa papuchi kitu kingine kinachoongozwa kupendwa na walaji ni Kitimoto tu mkuu.
Comment yako imefuruga utaratibu tumboni kwangu..[emoji848][emoji2][emoji2]kwann ikuue,eti??
Falaa sana jamaa tumbo linauma hadi leoo..Pole sana mkuu 10K yako imeenda bureee
Mkuu tusaidiane kilevya kipi ni bora kutumia wakati unatumia hii kitu
Mbuzi ni hatari kwa Afya mkuu ukitaka kuwa mlemavu karibia na Uzee wako kula mbuziHii ndio nyama bora kabisa iliyobakia baada ya nyama ya mbuzi na ngombe kuingiliwa na wadudu hatari wanaoongeza uric acid, gauts na matatizo kibao ya viungo, magoti na mfumo wa damu. Watafiti mtuambie nini kimetokea kwenye ngombe na mbuzi? nyama hizi ni hatari kubwa sasa, magoti yanavimba , yanauma, visole vinavimba na kukakamaa kuna nini? je ni dawa wanazowatibu wanyama hawa au ni species mpya za mbuzi na ngombe ama ni GMO? mbona zamani hakukuwepo matatizo kama haya?
Hahahahaaaa! Atakuwekea mistari ya kitabu cha Ufunuo mireeefu hadi usinzie!Akija tu sitamkwepesha nitampa sa Uso mkuu
Umepata njaa,.ama??Comment yako imefuruga utaratibu tumboni kwangu..[emoji848]
Umnunulie na "kakakola" asukumie mlo.Hahahahaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Akija tu naenda kumpiga na nusu kilo ya kitimoto Rost kwa Mangi
Afanye aende tuu kwa babu ayubu akale...Umemtamanisha na kumuhalibia Ratiba yake ya siku mkuu
Akileta ubishi umnunulie "chai iliyoungwa Nazi"![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kabisa mkuu Tena "kakakola" ya baridiii kabisaa
Cheers that is why K-Vant is my favourable drinkamatolo, nyama ya nguruwe siyo ngumu sana wala nyepesi sana, ipo katikati kwa ugumu, japo nyama ya ng'ombe ni ngumu zaidi. Kwa maana hiyo nyama inapokuwa ngumu na ina mafuta inashauriwa iliwe na kinywaji ambacho ni chachu au acidity kwa mfano wine.
Kitimoto kwa hapa Bongo, wengi hawapiki inavyotakiwa, kwa maana hiyo kienyeji kienyeji tunashauriwa ukila, basi shushia na spirit au whisky ili kuua vimelea au minyoo. Hii ni kimtaa zaidi na sio kidaktari.
Ni mbishi ile mbaya.Sasa unamonesha ukauzu tu.Hahahahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Chai tena mkuu?