amatolo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 690
- 712
Mkuu tusaidiane kilevya kipi ni bora kutumia wakati unatumia hii kituHahaha !!!hapana, nilikuwa natafakari tu jinsi priorities za watu hapa duniani zina differ.
Ni jambo jema kula kitimoto, ila ni muhimu kushusha na kilevi kikali ili kuua wadudu. Pendelea pia sehemu wanayochemsha kwanza kabla ya kuikaanga.