Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimara korogwe ukipanda mwendo kasi ukitokea ubungo unashuka kituo cha Resort upande wa kushoto kuna jikoLiko maeneo gani hili jiko mzee??
Wacha wee kama nakuona vile."Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee[emoji445][emoji445],kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]"
Wozaah😋😋Wacha wee kama nakuona vile.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Mr. MTUI njoo huku umsikie ndugu yako huyu hahahahaahaTena ukila hiyo makitu huwezi pata UKIMWI wallah. Tuleni kwa wingi wajameni tuutokomeze ukimwi
Tabata pale micasa bar da ile kitimoto rost tam balaaa ile taste sijaiona kokoteWacha wee kama nakuona vile.
Mkuu kumbe unampata huyu utakua wa kishua wewe ha ha ha hamtafute rest bbq..
Mbezi beachmtafute rest bbq..
Hivi Mshana Jr anatumiaga kitimoto?🙄🙄🙄Hapo ukishaipigaa .....kwa sisi wanywaji nyagi inashuka tuuuu
Ova
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Wozaah[emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mate yametoka kiukwelTujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?
Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.
View attachment 942375
View attachment 942377
Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,
Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.
Cc Zero IQ
Kweli???Tabata pale micasa bar da ile kitimoto rost tam balaaa ile taste sijaiona kokote