Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
basi hiyo minyoo ni fake mbona tunakula kitimoto tangu utotoni na sasa tunakaribia kuzeeka hakuna chochote na tumekuta wazee wetu wanakula na hakuna lolote.
mnahangaika sana kumsingizia matatizo mdudu ila ndio anazidi kupanda gharama
 
"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee🎶🎶,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii🎶🎶🎶🎶"
Dah!NDUGU mpendwa mwanakwaya kutoka Ulyankulu Tabora,umetisha katika tenzi!!!
 
Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
Hata kwenye Kuran au Bibilia kwa wasabato hawajaharimisha kwa sababu kama zako. Kwa hiyo walaji waendelee tu
 
basi hiyo minyoo ni fake mbona tunakula kitimoto tangu utotoni na sasa tunakaribia kuzeeka hakuna chochote na tumekuta wazee wetu wanakula na hakuna lolote.
mnahangaika sana kumsingizia matatizo mdudu ila ndio anazidi kupanda gharama
Huyu mdudu spesho jamani, ndio maana anayoyoma tu tulianza kama utani kilo elf9 ikaenda 12k, 15k na sasa 18k na madhara hatujayaona wacheni mdudu atambe bana akitoka kuku supastaa Kei-Moo!
 
Back
Top Bottom