Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

[HuQUOTE="Mother Confessor, post: 29309706, member: 347754"]"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee🎢🎢,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii🎢🎢🎢🎢"[/QUOTE]
Hujamalizia na akitembea mcheki chura anavyoilembesha yaan anajitikisa hadi raha kwa kweli😁😁😁
 
Cc iringa huku kuna mabanda ya ccm huko ni nooomaa yaa.pale dah umenitoa mate weye ngoja kesho nikaitafute si kwa hilo rost na pia maeneo mengi iringa kiti unapata haina shida... kula kwenda mbele nyama tamu sana πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–
 
Tabata Segerea pale kituo cha Sheli unaingia shoto kama unaenda chocho la kuibukia S'taki Shari kuna jamaa aitwa Temba pale katikati....ana kitimoto ya makange sio ya dunia hii!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sili sili halaf naachika namuachia nani thubutuuu
Rafiki kwa sababu siku ukiachika utakuwa wangu basi nitajitahidi kukufundisha kula kitimoto mdogomdogo![emoji16][emoji16][emoji16]
 

MAMBO MATAM TAM PANDE YA KIMARA temboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…