Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kama imani yako hairuhusu kutumia hii kitu, tafadhar usije kujaribu hata kwa bahati mbaya mana hauta acha, kuna jamaa yangu niliwahi kumuambia alidhani natania, alivyo onja saiz ndo mntaalam wa vijiwe vikali hapa mjini... Yani unakuta ananambia anenda kwanza kuswali baada ya hapo tunakutana sinza pale jirani na shekilango kwa wale wachaga, nyama tamu sana hii
 
Nineitamani ghafla. Ila na jua hili kuja nalo Sinza bora Juliana karibu wallah.
Utaenda Juliana?[emoji15] [emoji15] Ndo nimetoka hapo mida hii... Nilipita Mibbs mida ya mchana nikakuta vurugu hapo kwenye miba miba, no parking kabisa nikasepa!
 
Where that magic happens....

AC35CDB0-E294-4146-BE4A-6DC0A2D18A28.jpeg
 
Ok nimeshapata ramani siku ukija kuitembelea kitimoto yako ya city Pork Tbt ama Sinza usisite kunijuza pia
Ila jamani City pork ni kweli wako poa but ni wezi balaa[emoji15] [emoji15] ...ukiagiza kilo mtu hushibi hataa...kilo unaletewa nusu, hii ni uhakika
 
Hatari kabisa sema wahudumu wa pale sijui wanafanya kazi bure. Wavivu sana. Hawajitumi kama wa sehemu nyingine. Ndo maana Nyani Ngabu anatoka Mbezi anafuata kitimoto Sinza baada ya wahudumu pale kumzingua.

Si unajua tena....wengine tuna match mionekano yetu!

Unaonekana huna hela nani atakuwa na time na wewe!

Sirudi tena pale.
 
-6.889483,39.218010
Ebu fuata hiyo coordinate.. Kuna kitimoto fresh ..Niko hapo saa hizi
 
Nafikiria kwenda hapo. Nina njaa ya toka jana na natamani kitimoto ya Juliana ama mibs ama nipate biriani au pilau na sitaki kupika.
Hivi biriani la sele bonge linazidi la mr kukutz wa makumbusho?... Nilionjaga kote kote nikakuta yule mpemba hamfikii Mr kukutz asee
 
Back
Top Bottom