Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Dah kama mbeya kitimoto wanauza hadi elfu tano tatizo wanavyoiandaa tuNjoo huku kibosho kirima kila nyumba wanauza kilo elfu 7 yako tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kama mbeya kitimoto wanauza hadi elfu tano tatizo wanavyoiandaa tuNjoo huku kibosho kirima kila nyumba wanauza kilo elfu 7 yako tuu
Ok nimeshapata ramani siku ukija kuitembelea kitimoto yako ya city Pork Tbt ama Sinza usisite kunijuza pia
Utaenda Juliana?[emoji15] [emoji15] Ndo nimetoka hapo mida hii... Nilipita Mibbs mida ya mchana nikakuta vurugu hapo kwenye miba miba, no parking kabisa nikasepa!Nineitamani ghafla. Ila na jua hili kuja nalo Sinza bora Juliana karibu wallah.
Ile ishu vipi bado??[emoji15] [emoji15] ...Nipo home nimelala niende wapi na hili jua
Nafikiria kwenda hapo. Nina njaa ya toka jana na natamani kitimoto ya Juliana ama mibs ama nipate biriani au pilau na sitaki kupika.Utaenda Juliana?[emoji15] [emoji15] Ndo nimetoka hapo mida hii... Nilipita Mibbs mida ya mchana nikakuta vurugu hapo kwenye miba miba, no parking kabisa nikasepa!
Sio kweli...ya kwanza kwa utamu ni K wewe! Acha masihara kabisa[emoji15]Astaghafulalah !
Huyu mnyama mtamu kupita viungo vya uzazi vinavyokutana kwa pamoja
Poleni jomoni....mfanye kuila asee leoAisee usitufanyie hvyo tunaoumia ni sisi waroho wa nyama yan ushafanikiwa kuichanganya akili
Ila jamani City pork ni kweli wako poa but ni wezi balaa[emoji15] [emoji15] ...ukiagiza kilo mtu hushibi hataa...kilo unaletewa nusu, hii ni uhakikaOk nimeshapata ramani siku ukija kuitembelea kitimoto yako ya city Pork Tbt ama Sinza usisite kunijuza pia
Bora Juliana...k' moto cha pale ni nuksi! Sio kwa utamu uleNafikiria kwenda hapo. Nina njaa ya toka jana na natamani kitimoto ya Juliana ama mibs ama nipate biriani au pilau na sitaki kupika.
Bora Juliana...k' moto cha pale ni nuksi!
Nishasikia pia issue hyo yan niagize kilo nzima niletewe nusu ah huo tuuite uonevu au upuuzi aisee watapoteza watejaIla jamani City pork ni kweli wako poa but ni wezi balaa[emoji15] [emoji15] ...ukiagiza kilo mtu hushibi hataa...kilo unaletewa nusu, hii ni uhakika
Asee nilidhani nimeona hii ishu mwenyewe[emoji15] [emoji15] ...hivi why?Hatari kabisa sema wahudumu wa pale sijui wanafanya kazi bure. Wavivu sana. Hawajitumi kama wa sehemu nyingine. Ndo maana Nyani Ngabu anatoka Mbezi anafuata kitimoto Sinza baada ya wahudumu pale kumzingua.
Hatari kabisa sema wahudumu wa pale sijui wanafanya kazi bure. Wavivu sana. Hawajitumi kama wa sehemu nyingine. Ndo maana Nyani Ngabu anatoka Mbezi anafuata kitimoto Sinza baada ya wahudumu pale kumzingua.
UmejuajeSio kweli...ya kwanza kwa utamu ni K wewe! Acha masihara kabisa[emoji15]
Wee waache!... Kitimoto kitamu balaa but unapunjwa mpaka[emoji15] [emoji15]... 13000 mchezo?Nishasikia pia issue hyo yan niagize kilo nzima niletewe nusu ah huo tuuite uonevu au upuuzi aisee watapoteza wateja
Hivi biriani la sele bonge linazidi la mr kukutz wa makumbusho?... Nilionjaga kote kote nikakuta yule mpemba hamfikii Mr kukutz aseeNafikiria kwenda hapo. Nina njaa ya toka jana na natamani kitimoto ya Juliana ama mibs ama nipate biriani au pilau na sitaki kupika.