TCA
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 504
- 835
Nenda mpaka bahari beach ukifika pale utaanza ona vibao vya kwenda, huwezi juta
Asante sana mkuu leo nita pita hapo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mpaka bahari beach ukifika pale utaanza ona vibao vya kwenda, huwezi juta
Basi pale Moshi kusingekuwa na wazee. Maana wale wazee wamemeza tani kadhaa za kitimoto kutokana na ulaji wa kilo za kitimoto tokea utoto......Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
Aseee pana chezea kitimoto ya paleNadhani umeelewa hizi Mambo, sehemu imejificha Ila tunachoma wese kwenda Kula huko, halfu kuna watu wanasemaga wanakula mdudu, mi nawaambiaga Tu kama unajisifu umewahi Kula mdudu nitkupeleka shehemu siku Moja ukirudi utajua unakulaga mdudu au uchafu
Haahaa[emoji16][emoji16][emoji1787]I hope ume enjoy, sidhani kama kuna sehemu nyingine bongo wanatoa hiyo kitu hivyoo, hawa jamaa sijui wanapika wakiwa uchiiii sio poa vitu vyao ni adimu sanaa, we sehemu kilometers za kutosha kitu nachoma mafuta from Riverside mpka huko zaidi ya km 30
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umejuajeSASA hapo leo, naona utakuwa na kidate kabisa.
Idumu na idumu mileleKweli hujakosea Mkuu, jf Bana iishi milele, yaani haya mambo ukijifungia unaweza jiona we ndo unakulaga vitu vizuri kumbe hujawahi Kula vitu vizuri tembea uone
Nilitaka nishangae kitimoto tamu vile waache kuiba, ukiagiza kilo unaletewa nusu,mpaka jana nikaanza kucheka[emoji16]Na hapo ndipo penye shida,Cha msingi umeenjoy yan siku hzi sehemu zote nzuri za mdudu wana kasoro hiyo
The only thing to fear is fear itself
Teh teh hata humo Rudi's full mafuriko na mbu wa kutosha, kama uko moshi vile ukishaingia ndaniMaeneo mengi yanayotoa kitimoto cha nguvu siyo ya kuridhisha! Kivulini pub ya buguruni stand ina kitimoto kali ila bar yao ni ya uswazi sana
Hata micasa magengeni madhari mazuriKazi moto pork iko Segerea hakika kuna mszingira mazuri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usiache mkuu kuleta mrejeshoAsante sana mkuu leo nita pita hapo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haahaa[emoji16][emoji16][emoji1787]
Mwanzo Jana Wakati naenda niliboreka maana ni mbali kinoma na napoishi
Uliza uliza ile ikawa inanikata simu, muda nimuuliza jamaa wa boda pale kwenye kibao cha legder plaza akaniambia kuna chocho nyingi huwezi pajua nipe buku nikupeleke ha ha ha..nikaona miyeyusho nikasema ntauliza tu mbele kwa mbele!
Baada ya kufika na kula hata sikujuta haki tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Sass na Mimi muda mida naanza Safari ya huko Nipe maelezo mazuri ya kufika hapo ili nami nikajinee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu,
Kwanza Bahari beach unapajua?
Ukifika hapo kwenye kibao uliza hupotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh hata humo Rudi's full mafuriko na mbu wa kutosha, kama uko moshi vile ukishaingia ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi Micasa ya Hapa Riverside umeenda...?
Miaka ya 2012 nilishawahi kula kitimoto maeneo ya Rombo Mashati daa yule jamaa fundi sana angekua maeneo kama Dar angeshatusua kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app