Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kumbuka ni haramu-najisi (najisi kwa kiingereza it is harmful) ina minyoo isiyokufa hata ikipikwa na ni kisababishi cha magonjwa kadhaa. Jiepushe nayo. Kula kiti moto Ni sawa na kuweka diesel kwenye gari la petrol
Basi pale Moshi kusingekuwa na wazee. Maana wale wazee wamemeza tani kadhaa za kitimoto kutokana na ulaji wa kilo za kitimoto tokea utoto......

Minyoo unayoongelea wewe ni wivu tu sababu imani yako inakukataza kuonja utamu wake.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani umeelewa hizi Mambo, sehemu imejificha Ila tunachoma wese kwenda Kula huko, halfu kuna watu wanasemaga wanakula mdudu, mi nawaambiaga Tu kama unajisifu umewahi Kula mdudu nitkupeleka shehemu siku Moja ukirudi utajua unakulaga mdudu au uchafu
Aseee pana chezea kitimoto ya pale

Kweli kwingine tunakula nyama ila sio kitimoto


Huwezi amini leo natia timu Tena[emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I hope ume enjoy, sidhani kama kuna sehemu nyingine bongo wanatoa hiyo kitu hivyoo, hawa jamaa sijui wanapika wakiwa uchiiii sio poa vitu vyao ni adimu sanaa, we sehemu kilometers za kutosha kitu nachoma mafuta from Riverside mpka huko zaidi ya km 30
Haahaa[emoji16][emoji16][emoji1787]

Mwanzo Jana Wakati naenda niliboreka maana ni mbali kinoma na napoishi

Uliza uliza ile ikawa inanikata simu, Kuna muda nilimuuliza jamaa wa boda pale kwenye kibao cha legder plaza akaniambia kuna chocho nyingi huwezi pajua nipe buku nikupeleke ha ha ha..nikaona miyeyusho nikasema ntauliza tu mbele kwa mbele!

Baada ya kufika na kula hata sikujuta haki tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaa[emoji16][emoji16][emoji1787]

Mwanzo Jana Wakati naenda niliboreka maana ni mbali kinoma na napoishi

Uliza uliza ile ikawa inanikata simu, muda nimuuliza jamaa wa boda pale kwenye kibao cha legder plaza akaniambia kuna chocho nyingi huwezi pajua nipe buku nikupeleke ha ha ha..nikaona miyeyusho nikasema ntauliza tu mbele kwa mbele!

Baada ya kufika na kula hata sikujuta haki tena

Sent using Jamii Forums mobile app

Sass na Mimi muda mida naanza Safari ya huko Nipe maelezo mazuri ya kufika hapo ili nami nikajinee.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kigoma maguruweni, Kasulu makaburi ya wazi, iringa CCM, mbeya mitaa ya mfikemo. Dodoma ndio sijawahi kula kitimoto nzuri hata labda wale waliokuwa uzunguni now wapo kilimani angalau wanajitahidi. Otherwise pork point near NBC kawaida kabisa, wale waliokuwa pale karibu na ABC area C ambao sasa wapo uwanja wa vijana kawaida kabisa. Wadau wa dodoma tuambizane mnakula wapi kitimoto nzuri?
 
Back
Top Bottom