financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Kama napafahamu hivi, ni mkiagiza mnakaa porini huko ndyo kumewekwa viti? Ni Buza ila nilipenda kitimoto yao kama iko freshi tofauti na hizi ukihitaji zinazotolewa frijini.Ni mle kwenye misitu?
Wako wengi wengi?
Kama Ni hapo kitimoto chao kibaya
Sent using Jamii Forums mobile app