Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Wabongo tukiwa na watej wengi hudum zinakua mbovu.

Sasa masaa matatu na umepiga simu, mimi sikupiga na ilikua jumamosi cha moto nilikiona.

Kuna sehemu nyingine nilikula kitimoto konki sana maeneo ya buza tanesco kuna majiko mengi yaani lisaa tu ushaletewa msosi.

Panaitwa Bushbaby ni hatari sana
 
chef_aloyce-20200420-0001.jpg
 
Kazimoto segerea?? Pale napo wanapakua mafupa tu kama hawakujui, yani nimeshaenda kama mara 3 na zote walinidisappoint [emoji852]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi uwe mkali aisee,Yani mara tatu zote unapakuliwa mafupa unakaa Kimya!??

Ni kweli kuna uzembe ila ukiongea na Manager wao pale wanakuwa very humble..

Ukirudi tena wapige mkwara usiwachekee watakupa nyama nzuri tu.

The only thing to fear is fear itself
 
Aah niliona isiwe kesi, sitegemei kurudi tena pale, yani nimekaa napata harufu ya gas tu na bado nyama haileweki nikaona niachane napo, nna miezi zaidi ya miwili sijaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah niliona isiwe kesi, sitegemei kurudi tena pale, yani nimekaa napata harufu ya gas tu na bado nyama haileweki nikaona niachane napo, nna miezi zaidi ya miwili sijaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi mara zangu mbili za kwanza walinidisapoint na nilikuwa na marafiki hvyo nikakaa kimya!!

Nilirudi mwenyewe baada ya wiki niliwapa biti ya nguvu kilichofuata nilipewa nyama inayoeleweka mpaka leo nikienda hawafanyi ujinga tena.

Btw..Suggest sehemu tatu tofauti zenye ubora kwa sasa ukiiacha Rudis

The only thing to fear is fear itself
 
Kuna chimbo liko ndani ndani sana

Nenda Hadi Galanos Secondary (Nguvumali) pitia njia ya majani mapana hiyo sehemu iko karibu kabisa na mitambo na mitambo ya kupoozea umeme (zinaangaliana)

Wanafuga hapo na kupika hapo .

Niliwahi kuta Hadi wachina wanakuja kule kula kitimoto[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kijiwe kizuri ni pale Bakwata Magomeni na makutano ya Morogoro na Kawawa roads. Kuna mpishi pale anaitwa Abdallah, ni utamu mwanzo mwisho. Ila usubiri Ramadhani iishe. Sasa hivi mshikaji amefunga.
 
Mama.e k'moto....kuna haja ya kuanzisha kitimoto club.. 😬 . Afu haya machimbo itakuwa tunakutana sana ila hatujuani,au tunajua lakini lakini hujui mwenzio anatumia ID humu..😀...Viva nguruwe
 
Kijiwe kizuri ni pale Bakwata Magomeni na makutano ya Morogoro na Kawawa roads. Kuna mpishi pale anaitwa Abdallah, ni utamu mwanzo mwisho.
Abdallah na ni mpishi wa kitimoto aiseeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

CC Zero IQ
 
Mimi binafsi mara zangu mbili za kwanza walinidisapoint na nilikuwa na marafiki hvyo nikakaa kimya!!

Nilirudi mwenyewe baada ya wiki niliwapa biti ya nguvu kilichofuata nilipewa nyama inayoeleweka mpaka leo nikienda hawafanyi ujinga tena.

Btw..Suggest sehemu tatu tofauti zenye ubora kwa sasa ukiiacha Rudis

The only thing to fear is fear itself
Kitimoto point kinyerezi na kunduchi hapa ukifika agiza Tekenya
Micasa zote 2 ziko vizuri
Mamaz ada estate
Juliana pub mbezi beach
Sehemu ziko nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom