Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kitomoto point kinyerezi na kunduchi hapa ukifika agiza Tekenya
Micasa zote 2 ziko vizuri
Mamaz ada estate
Juliana pub mbezi beach
Sehemu ziko nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Micasa ziko vizuri ila hii ya Tabata wanapunja balaa,

Hyo kunduchi nayo inaitwa Kitimoto point!??na hyo Tekenya ndio style at!!

Asante Mamaz sikuwahi kufika ngoja ni update excel sheet yangu

The only thing to fear is fear itself
 
Ndio hapo tabata kilo ina tatizo[emoji852]

Ndio uko sahihi kabisa maana jina ndio hilo hilo la kitimoto point na tekenya ni style art
Kuna chimbo lingine tena karibia na Hugo sema nimesahau jina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hapo tabata kilo ina tatizo[emoji852]

Ndio uko sahihi kabisa maana jina ndio hilo hilo la kitimoto point na tekenya ni style art
Kuna chimbo lingine tena karibia na Hugo sema nimesahau jina

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks...Naomba zidi kukusanya taarifa najua tutafungua Club soon na watu wanahangaika sana kutafuta vijiwe vipya vikali mana vingi tumeshakwenda sana..

Ila hyo Tekenya itabidi patembelee ni mpya kabisa kwangu sema mbali

The only thing to fear is fear itself
 
Thanks...Naomba zidi kukusanya taarifa najua tutafungua Club soon na watu wanahangaika sana kutafuta vijiwe vipya vikali mana vingi tumeshakwenda sana..

Ila hyo Tekenya itabidi patembelee ni mpya kabisa kwangu sema mbali

The only thing to fear is fear itself
Ntajitahidi mkuu, wakifungua maeneo yetu mambo yawe moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom