Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Chimbo langu hilo, wale vijana wangu wakina white wanachoma kitimoto sijawahi ona...Wakuu kuna hili chimbo la hapa KAIRUKI HOSPITAL kuna kama kontena hiv wanachoma balaa halafu na vinega yao hyo balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashushia na serngeti zako mbili za baridi siku inaisha vizuri kabisa...
Leo nitapita hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app