Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Naona una bidii ya kunipa vishawishi, ntaenda kwa mara ya mwisho, wakizingua sitakanyaga tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mambo hayo!??
Chukua hata namba kwenye Insta page yao halafu wape order kabla hujafika na mkwara juu
Screenshot_20200519-150637.jpeg


The only thing to fear is fear itself
 
ila nilichogundua hivi vijiwe vikali kama vile Kazimoto pork kitambi ni lazima, kwa sababu lazima urudi tena na tena![emoji24][emoji24][emoji24]
Hahaha pale mzee ni shida.

Ulipiga zile ribs zao!??mie huwa naipenda pilipili yao.

Kitambi hakiepukiki pale

The only thing to fear is fear itself
 
Kuna watu niliwaona pale wanakula ribs na vitambi vyao![emoji24][emoji24][emoji24] Hivi mkuu kwa sasa ni vijiwe gani vinaweza kushindana na hawa kazimoto?
Watu hawajali tena vitambi[emoji3][emoji3]

Zipo Je umeshawahi kwenda Rudis maeneo ya bahari beach!??

Hata hii Micasa ya External hapa wako vizuri pia

The only thing to fear is fear itself
 
Watu hawajali tena vitambi[emoji3][emoji3]

Zipo Je umeshawahi kwenda Rudis maeneo ya bahari beach!??

Hata hii Micasa ya External hapa wako vizuri pia

The only thing to fear is fear itself
Hivi vijiwe ngoja niviweke kwenye list ya weekend!
 
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?

Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.

View attachment 942375

View attachment 942377

Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,

Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.


Cc Zero IQ
nenda Matako bar "Kerege CCM, Bagamoyo "
 
Back
Top Bottom