Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Mbeya soweto pale kuna sehemu inaitwa kwa “batili “
Hatari sana hapo.
Upande upi kama wa barabara kama unaelekea mjini? ni huku mwanzo kwa Sina ndugu Auto Parts au kule mbele jirani na Mkulu hotel? au ni chimbo liko ndani ndani sana? sijawahi kupasikia na natamani nifike hapo.
 
Kwa wale wa Morogoro chimbo zuri ni wapi? zamani nilikuwa naenda pale Mriti pub Iringa road nasikia palishafungwa. Natamani wikendi hii nikiwa Morogoro nijue sehemu nzuri haswa ya kitimoto choma au roast yenye akili.
 
Hapana sio Jirani na mkulu hotel ,Mkuu ukiwa unatoka hapo kabwe stand unaelekea huko mkulu hotel(hauendi mjini kama unakuja nane nane au unaenda sai au barabara kubwa yakutokea uyole ) huku, ukitoka tu hapo kabwe mbele kuna barabara ya lami mkono wa kushoto barabara ya soweto hapo(daladala zinakatisha hapo hiyo barabara inaingia tu aitoki) unashuka na hiyo barabara mkono wa kushoto hapo pako kwa ndani kidogo.nje kuna kibango kimeandikwa Kitimoto.

Mimi ni mlaji wa Kitimoto ila Cha hapo ni kizuri sana naweza kusema kwa tz hapa ukitaja sehemu 2 lazima pawepo tu.

Jamaa wako vizuri,tangawizi ipo Tayari mwendo wa kukamulia tu kwenye nyama,
Usisahau kumwambia akuweke na mchicha[emoji3].

Kama kachumbali au au chachandu aliyokuwekea aitoshi unamwambia niongezee anakuongeza .
 
Mkuu shukrani sana, nitapatembelea lazima, hiyo njia nishaijua zinakoingilia daladala ni one way. Nimezoea pale uyole njia panda kwa big Jomba zinakopaki gari za Japanese za Makete, napo pazuri sana.
 
1. Kuna baa moja iko keko hapa karibu kabisa na lango la gereza, ile roast yao ni kama wanaiconect na ubongo kwa blueetoth. Ukienda mara moja huachi.
2. Kuna nyingine iko hapa tabata chang'ombe,kituo cha daladala pale kwenye maduka yake kuna baa imejificha pale nyuma. aseee ile nyama haina mcheso.
3. Tabata kimanga barabara ya kwenda mazda, kwenye junction pale uneendelea kulia, kuna baa moja pale wana mziki mkubwa tu. Hatari sana.
4. Kimara baruti, pale njia panda ya kwendo chuo .kona moja tu kushoto harufu na mziki itakuita. Pale ukiweka oda ni dk30 max. Kitu kiko mezani.
5. Kutoka baruti kuja ubungo mbele kidogo tu ya baruti kuna eneo linaitwa kona, kushoto hapo juu kwenye miti miti, pamejificha kidogo, na kuna ukimya wa maana tu kwa wasiopenda kelele. Huyo mdudu anaetolewa hapo ni wa kiwango cha lami.
Bei 11-13 kwa kilo.

Ooogh! Si vizuri kuongea wakati unakula. Ntarudi!
 
Hapana, japo hapa katikati niligundua chimbo moja tu japo halina mdudu panaitwa Soweto, mbele ya kinyerezi kama unaenda mbezi kuna sehemu inaitwa Kifuru, hapo nilikula mbuzi safi labisa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio mpiga debe wa yeyote ila kuhusu mbuzi, ukila mbuzi wa pale Corner Lounge pale Jeshini Tabata kuelekea Kisukuru/External, utakubali kuanzia Soweto mpaka unamaliza Tbt hakuna zaidi yao ingawa Soweto inaniita kwa nyama ya Kanga tu, juisi freshi inajazwa sukari kama ugomvi, vingine ni kawaida mno. The Great, Ale Bush, KB, Last Call, Baraccuda, pale kinyerezi kwa yule dada wa bandari, Kitambaa cheupe, Forty Forty n.k kwa tabata wajipange, Centre Point hotel pale Bima wanatengeneza mbuzi nzuri ila vipande vya mifupa vimezidi. Cluh Africa imekuwa ya kimazoea zaidi, hizo ndio kwa uchache kwa eneo hilo la tbt.
 
Kiti choma KITCHEN POINT BARBECUE Africana, Mbezi Beach. 🙌🙌🙌

And the Sweet & Sour sauce is amazebal!!!!
20200829_173225.jpg
 
Kwa wale wa Morogoro chimbo zuri ni wapi? zamani nilikuwa naenda pale Mriti pub Iringa road nasikia palishafungwa. Natamani wikendi hii nikiwa Morogoro nijue sehemu nzuri haswa ya kitimoto choma au roast yenye akili.

Kwa Kimario hapo Msamvu karibia na ofisi za Uhamiaji, chukua boda atakufikisha.
 
Back
Top Bottom