Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
ntaleta mrejeshoHapa tabata bima kituo cha daladala kuna sehemu inaitwa steve pork ribs wanachoma vizuri sana kitimoto. Nimekula hapo cha kuchoma yaani ni kizuri, wanachoma vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntaleta mrejeshoHapa tabata bima kituo cha daladala kuna sehemu inaitwa steve pork ribs wanachoma vizuri sana kitimoto. Nimekula hapo cha kuchoma yaani ni kizuri, wanachoma vizuri sana
ile njia ukiwa kama unaelekea kimanga auHapa tabata bima kituo cha daladala kuna sehemu inaitwa steve pork ribs wanachoma vizuri sana kitimoto. Nimekula hapo cha kuchoma yaani ni kizuri, wanachoma vizuri sana
Kuna hot Bombay, light Bombay name hangover usipime ni hatariPanaitwaje hiyo sehemu Arusha?
Kimara moja hioNi wapi hapo mkuu?
Hapana, japo hapa katikati niligundua chimbo moja tu japo halina mdudu panaitwa Soweto, mbele ya kinyerezi kama unaenda mbezi kuna sehemu inaitwa Kifuru, hapo nilikula mbuzi safi labisaNoted...
Hujapata vijiwe Vingine vipya utufahamishe!??
Upande upi kama wa barabara kama unaelekea mjini? ni huku mwanzo kwa Sina ndugu Auto Parts au kule mbele jirani na Mkulu hotel? au ni chimbo liko ndani ndani sana? sijawahi kupasikia na natamani nifike hapo.Mbeya soweto pale kuna sehemu inaitwa kwa “batili “
Hatari sana hapo.
Kwa wale wa Morogoro chimbo zuri ni wapi? zamani nilikuwa naenda pale Mriti pub Iringa road nasikia palishafungwa. Natamani wikendi hii nikiwa Morogoro nijue sehemu nzuri haswa ya kitimoto choma au roast yenye akili.Upande upi kama wa barabara kama unaelekea mjini? ni huku mwanzo kwa Sina ndugu Auto Parts au kule mbele jirani na Mkulu hotel? au ni chimbo liko ndani ndani sana? sijawahi kupasikia na natamani nifike hapo.
Upande upi kama wa barabara kama unaelekea mjini? ni huku mwanzo kwa Sina ndugu Auto Parts au kule mbele jirani na Mkulu hotel? au ni chimbo liko ndani ndani sana? sijawahi kupasikia na natamani nifike hapo.
Mkuu shukrani sana, nitapatembelea lazima, hiyo njia nishaijua zinakoingilia daladala ni one way. Nimezoea pale uyole njia panda kwa big Jomba zinakopaki gari za Japanese za Makete, napo pazuri sana.Hapana sio Jirani na mkulu hotel ,Mkuu ukiwa unatoka hapo kabwe stand unaelekea huko mkulu hotel(hauendi mjini kama unakuja nane nane au unaenda sai au barabara kubwa yakutokea uyole ) huku, ukitoka tu hapo kabwe mbele kuna barabara ya lami mkono wa kushoto barabara ya soweto hapo(daladala zinakatisha hapo hiyo barabara inaingia tu aitoki) unashuka na hiyo barabara mkono wa kushoto hapo pako kwa ndani kidogo.nje kuna kibango kimeandikwa Kitimoto.
Mimi ni mlaji wa Kitimoto ila Cha hapo ni kizuri sana naweza kusema kwa tz hapa ukitaja sehemu 2 lazima pawepo tu.
Jamaa wako vizuri,tangawizi ipo Tayari mwendo wa kukamulia tu kwenye nyama,
Usisahau kumwambia akuweke na mchicha[emoji3].
Kama kachumbali au au chachandu aliyokuwekea aitoshi unamwambia niongezee anakuongeza .
Hapana!Palepale kituoniile njia ukiwa kama unaelekea kimanga au
ntaleta mrejeshoHapana!Palepale kituoni
Mrejesho uko wapi mkuu?ntaleta mrejesho
bado sijaendaMrejesho uko wapi mkuu?
Sio mpiga debe wa yeyote ila kuhusu mbuzi, ukila mbuzi wa pale Corner Lounge pale Jeshini Tabata kuelekea Kisukuru/External, utakubali kuanzia Soweto mpaka unamaliza Tbt hakuna zaidi yao ingawa Soweto inaniita kwa nyama ya Kanga tu, juisi freshi inajazwa sukari kama ugomvi, vingine ni kawaida mno. The Great, Ale Bush, KB, Last Call, Baraccuda, pale kinyerezi kwa yule dada wa bandari, Kitambaa cheupe, Forty Forty n.k kwa tabata wajipange, Centre Point hotel pale Bima wanatengeneza mbuzi nzuri ila vipande vya mifupa vimezidi. Cluh Africa imekuwa ya kimazoea zaidi, hizo ndio kwa uchache kwa eneo hilo la tbt.Hapana, japo hapa katikati niligundua chimbo moja tu japo halina mdudu panaitwa Soweto, mbele ya kinyerezi kama unaenda mbezi kuna sehemu inaitwa Kifuru, hapo nilikula mbuzi safi labisa
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa wale wa Morogoro chimbo zuri ni wapi? zamani nilikuwa naenda pale Mriti pub Iringa road nasikia palishafungwa. Natamani wikendi hii nikiwa Morogoro nijue sehemu nzuri haswa ya kitimoto choma au roast yenye akili.
Shukrani sana mkuu, leo nitaenda hapoKwa Kimario hapo Msamvu karibia na ofisi za Uhamiaji, chukua boda atakufikisha.