Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

Sipati picha watu wa dar saivi na joto hili unapanda daladala za mbagala😂😂😂, ila watanzania wa dar ni wavumilivu
 
You were spot on! ila jamaa hakukuelewa!
Miaka ya nyuma nilikuwa nawasimulia washkaji tukio la mtoto kutumbukia kwenye choo mtaani kwetu. Wakishua alikuwa anabisha kuwa haiwezekani , kumbe mie nazungumzia choo cha shimo yeye fikra zipo kwenye vyoo vya kukaa nyumbani kwao
maisha kwel tunatofautiana.
 
Dunia ina mizunguko mitatu, kulizunguka Jua, kujizunguka yenyewe na kuegama ili ncha zake zipate joto na mwanga wa Jua kwa zamu.

Kinachotokea sasa ni zamu ya ncha ya kusini kupata mwanga na joto kali baada ya miezi sita ya kuangazia ncha ya kaskazini....Summer

Kimsingi, Majira ya baridi yanaisha kusini na kuanza Southern summer wakati kaskazini wanaanza majira ya baridi.. Northern winter baada ya kuisha Summer.
 
Wakuu nilikua dar juzi kwangu mm niliona hakuna joto kivile,kwa sasa nipo kilosa Moro kuna sehemu inaitwa kimamba kuna joto hatari wazee,nimekuja kuuza mpunga wangu mwenye uhitaji aje dm.
 
ANdikwa thread
Wakuu nilikua dar juzi kwangu mm niliona hakuna joto kivile,kwa sasa nipo kilosa Moro kuna sehemu inaitwa kimamba kuna joto hatari wazee,nimekuja kuuza mpunga wangu mwenye uhitaji aje dm.
 
Back
Top Bottom