SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Vyema ujinga? CCM imewaharibu sana, hao wachina ni wajomba zenu? Badala muwaze CCM ikuze uchu.i mnawaza bei zishuke.Umesema vyema
Waje pia mashambani walime mahindi gunia wauze elfu ishirini. Wamwage kemikali ardhini miaka michache baadae ardhi isizalishe waondoke zao.Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000?
Dada UmepanikWaje pia mashambani walime mahindi gunia wauze elfu ishirini. Wamwage kemikali ardhini miaka michache baadae ardhi isizalishe waondoke zao.
Waje pia wapewe ziwa Victoria samaki kilo auzwe elfu tatu, wavue wakombe kila kitu hadi mayai ya samaki. Miaka minne mbele ziwa libaki na majitaka hamna viumbe.
Waje pia migodini wafukuze wabongo wote wakae wao, kwanini wabongo watajirike. Inabidi sote tuwe masikini kama mleta mada.
Wachina pia waanzishe makampuni ya utalii, wabongo wafukuzwe. Wamiliki wa hoteli kwanini wanauza one meal 50,000? Waje Wachina wajenge mahoteli 5 na dinner iwe elfu tano tu na maji ya kunywa bure.
Kwanini unaona Kariakoo ndio wanapata faida peke yao, kwenye sekta yako unahisi Wachina hawawezi fanya kwa bei nafuu zaidi? Unaonaje ukawaachia wao wewe ukajishughulisha na kukata viuno.
Cardet inauzwa 5,000!!Naunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
Vyema ujinga? CCM imewaharibu sana, hao wachina ni wajomba zenu? Badala muwaze CCM ikuze uchu.i mnawaza bei zishuke.
Wanao piga pesa za nchi unazani wanaenda Kariakoo? Pale ni kwa masikini wapiga kura na misukule ya CCM
Wachina wanasema kwao inauzwa buku tu. Ukiongeza buku 2 za usafiri na ushuru inakuwa buku 3, hivyo akiuza buku 5 tayari ana faida ya buku 2.Cardet inauzwa 5,000!!
Ni mpya au mtumba?
Kale kwa mama ntilieSasa tukale wapi?
mkuu nipe Hilo chombo la kadeti tafadhaliNaunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
Wachina njooni TanzaniaWachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000?