Watafuata utaratibu tutakaowawekea acha kujirudisha nyuma, tunahitaji capital yao na utaalam wao, na biashara yeyote kuanzia kubeti mpaka kilimo ni 50/50 na mbongoWaje pia mashambani walime mahindi gunia wauze elfu ishirini. Wamwage kemikali ardhini miaka michache baadae ardhi isizalishe waondoke zao.
Waje pia wapewe ziwa Victoria samaki kilo auzwe elfu tatu, wavue wakombe kila kitu hadi mayai ya samaki. Miaka minne mbele ziwa libaki na majitaka hamna viumbe.
Waje pia migodini wafukuze wabongo wote wakae wao, kwanini wabongo watajirike. Inabidi sote tuwe masikini kama mleta mada.
Wachina pia waanzishe makampuni ya utalii, wabongo wafukuzwe. Wamiliki wa hoteli kwanini wanauza one meal 50,000? Waje Wachina wajenge mahoteli 5 na dinner iwe elfu tano tu na maji ya kunywa bure.
Kwanini unaona Kariakoo ndio wanapata faida peke yao, kwenye sekta yako unahisi Wachina hawawezi fanya kwa bei nafuu zaidi? Unaonaje ukawaachia wao wewe ukajishughulisha na kukata viuno.
Hili ndio neno sanaTupe Mchimbo ha Wachina Hayo na Sisi na uzee wetu tukapate
Ulitaka wakale wapi? 😹Mawinga ni matapeli, sipendi ambavyo huwa wananifuata nyuma nyuma kama paka wa bar na kunighasi saa nazungumza na mwenye mali wakati mimi najua ninachotaka na nimefika Kkoo na dukani mwenyewe bila kushikwa mkono.
Uzuri hao wachina hawatoishia kkoo watakuja mpk mlipo kusaidia kazi zenu…!! 😹Na nyie roho mbaya inawasumbua mkiona Wachina wanapata na wateja wana save pesa yao waliyoipata kwa jasho lao wenyewe 😁
Hakika kabisaa.Naunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
😂😂😂😂Mchina akiwa Monopoly halafu aanze kuuza bei za ajabu itabidi tumfukuze waje hata Waturuki au Wabangladesh.
Suruali na TV zipo za bei zote mkuuNaunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
Hayo maduka yapo wapi mkuuNaunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
Mkuu hili chimbo la kadeti lipo wapi ?Naunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
waje na huku mikoani sasaNaunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.
Hivi Sasa bidhaa nyingi tulizokuwa "tunapigwa" (tunauziwa kwa bei ya juu), mchina kawaumbua walanguzi.
Mfano:-
1. Viatu vya 120k, mchina anauza 40k.
2. Suruali Kadet za 18k mchina anauza 5k.
3. TV za 1.2M -1.8M, mchina anauza kwa 400k- 600k.
Wachina ni wakombozi kwa kweli.
Mdogo mdogowaje na huku mikoani sasa
Toa na location ya machimbo ya wachina sasaNaunga mkono hoja, wachina wazidi kuongezeka Kariakoo.