Walanguzi wa Kariakoo wanasumbua sana Shati la Tsh 5,000 unauza 30,000?

Mbona kuna wenye connection na bei wanazotutandika afadhali ya wasio na connection.........wanasiasa wengi, wafanyabiashara wakubwa wenye connection ndo wana maduka huko mjini ila hawajawahi kutuletea vitu kwa hizi bei za mchina
 
Ni k

Kweli unawezatumia connection kuprotect biashara yako ama kumaxmize profitโ€ฆmfano kochi za jie huingiza kwa gharama yakwaida tu ila sio kwaajili ya watazania wa kati na chini so yeye atatumia connection yke kuincrease profit mara dufu, mfano kuna kochi za uturuk set moja anaingiza hadi kwa 2M anauza kwa winga wake 4M winga anauza kwa winga wake 4.8M winga wa winga anauza 6M-6.5 ila yeye kwny showroom yake anauza 12M ndo maana ikija kipnd cha sale ama offer unashangaa anauza 6M๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukichanganya na location aliopo masaki, mikocheni, posta nk unajua tu wewe level yko n kkoo.

Watu wa kkoo wengi wanatumia method mbili sana kukwepa kodi kstyle flan na kuuza lonya atakwambia mali ya uturuk kumbe china no look look tena, hyo ya connection n mambo ya kikod yakibuma
 
Hii ina uhusiano gani na kupambana na CCM? Mnawaza ujinga kutwa nzima, tafuta pesa pale Kariakoo ni kwa ajili ya masikini mulio tekwa akili na CCM.
We ngedere nani anapambana na CCM? Nenda Mirembe katibiwe. Kwanza huwezi kupambana na hilo jabali.
 
Vyema ujinga? CCM imewaharibu sana, hao wachina ni wajomba zenu? Badala muwaze CCM ikuze uchu.i mnawaza bei zishuke.

Wanao piga pesa za nchi unazani wanaenda Kariakoo? Pale ni kwa masikini wapiga kura na misukule ya CCM
Mamako alikosea sana kukuzaa ni kwamba condom hazikuwepo au?
 
Haya mawazo ya kwako we bwege
 
We jamaa
 
Vyema ujinga? CCM imewaharibu sana, hao wachina ni wajomba zenu? Badala muwaze CCM ikuze uchu.i mnawaza bei zishuke.

Wanao piga pesa za nchi unazani wanaenda Kariakoo? Pale ni kwa masikini wapiga kura na misukule ya CCM
Acheni kusema misukule ya CCM, misukule ya Chadema inaenda wapi? Au chadema mnaenda China?
 
Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000?
tatizo uliwakodolea mno wale wadada,
 
Natafuta connection nao ,nipatw vitu ...Hawa watu wausi wanapenda hela sana.
 
Wengi wao hawajui abc za biashara mfano kuna jeans la elfu 7, jeans la elfu2, la elfu 40 watu wengi hawajui kama kuna ubora wa vitu wao wanafikiri quality ni moja
 
Waje na kwenye EMS watu walipe elfu themanini kwa mwaka
 
Roho mbaya inawasumbua wanaona kkoo tunapata, stress za maisha yao zote wanahamishia kko wapumbavu wakubwa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜น
 
Nyie mawinga ndio mmeharibu biashara ya Kariakoo, mnatakiw mpigwe marungu ya mgongoni muondoke Kariakoo, hamfai kabisa.
Umelazimishwa kununua? ๐Ÿ˜น
 
Umelazimishwa kununua? ๐Ÿ˜น
Mawinga ni matapeli, sipendi ambavyo huwa wananifuata nyuma nyuma kama paka wa bar na kunighasi saa nazungumza na mwenye mali wakati mimi najua ninachotaka na nimefika Kkoo na dukani mwenyewe bila kushikwa mkono.
 
Roho mbaya inawasumbua wanaona kkoo tunapata, stress za maisha yao zote wanahamishia kko wapumbavu wakubwa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ˜น
Na nyie roho mbaya inawasumbua mkiona Wachina wanapata na wateja wana save pesa yao waliyoipata kwa jasho lao wenyewe ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ