Walanguzi wa Kariakoo wanasumbua sana Shati la Tsh 5,000 unauza 30,000?

Shati 5000 πŸ˜„ huo mdosho
Ukivaa ukifua imeenda kwao

Ova
 
Watafuata utaratibu tutakaowawekea acha kujirudisha nyuma, tunahitaji capital yao na utaalam wao, na biashara yeyote kuanzia kubeti mpaka kilimo ni 50/50 na mbongo
 
Mawinga ni matapeli, sipendi ambavyo huwa wananifuata nyuma nyuma kama paka wa bar na kunighasi saa nazungumza na mwenye mali wakati mimi najua ninachotaka na nimefika Kkoo na dukani mwenyewe bila kushikwa mkono.
Ulitaka wakale wapi? 😹
 
Na nyie roho mbaya inawasumbua mkiona Wachina wanapata na wateja wana save pesa yao waliyoipata kwa jasho lao wenyewe 😁
Uzuri hao wachina hawatoishia kkoo watakuja mpk mlipo kusaidia kazi zenu…!! 😹
 
Hakika kabisaa.
 
Suruali na TV zipo za bei zote mkuu
 
Hayo maduka yapo wapi mkuu
 
Mkuu hili chimbo la kadeti lipo wapi ?
 
waje na huku mikoani sasa
 
Information is Power...

Sasa kama wewe hujui kwamba hilo shati kuna sehemu linauzwa elfu tano na umelipenda kwa elfu thelasini unaona ni halali basi anakuuzia information...

Tungekuwa tunapenda Haki tusingempa mkulima peanuts kwa kazi anazofanya iwe jua au mvua....
 
Toa na location ya machimbo ya wachina sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…