Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Hayo yote umeyataja hapo ni majizi yanayofanana kasoro rangi tu! kuna ya kijani, ya bluu na mekundu lakini yote ni yaleyale ongeza na yale ya zambarau ya kule Pemba na Ujiji.Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Zinakuhusu nini ?Jibu hoja ya kutumia mabillion ya umma kujilipa tu
We fara CCM imefanya nini zaidi wizi wa kura na mikopo kutoka kwa mabeberu?Migodi yenu ccm imewauzia Wazungu.Wanyama wenu CCM imewauzia Waarabu.Bandari yenu CCM imewauzia Waarabu.Tanganyika yenu CCM imewauzia Zanzibar.Uhuru wenu CCM imewauzia Viongozi na familia zao pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama.Maisha yenu chini ya ccm siku moja mtakuja kuwa watumwa wa taifa fulani mpende msipende.Maendeleo yote unayoyaona ni CCM we bwege
Ni pesa za umma kwaiyo zinamhusu Kila mtanzania mpinga ufisadi na matumizi mabaya ya Kodi zetuZinakuhusu nini ?
Umeshindwa kikondoo kufuattilia hela miradi mbalimbali kama vile Daraja la Busisi,SGR,Afya,Elimu,Umeme unakuja kupambana na CHADEMA?Hivi una akili kweli!Ni pesa za umma kwaiyo zinamhusu Kila mtanzania mpinga ufisadi na matumizi mabaya ya Kodi zetu
Kote tunafuatilia mafisadi na wajasiriasiasa lazima mumulikwe . Walau daraja la busisi na bwawa la umeme vinaoneka nyie hayo mabillion mmeyapeleka wapi?Umeshindwa kikondoo kufuattilia hela miradi mbalimbali kama vile Daraja la Busisi,SGR,Afya,Elimu,Umeme unakuja kupambana na CHADEMA?Hivi una akili kweli!
Chadema hawajashika dola wanatakiwa kusema hayo ni CCM ambayo ndo inayoongoza nchiChadema hawana hata mradi mmoja
Tangu Mwendazake afariki hakuna ccm ilichofanikiwa zaidi ya kukodisha bandari ya Tanzania kwa Waarabu wa Dubai?Kote tunafuatilia mafisadi na wajasiriasiasa lazima mumulikwe . Walau daraja la busisi na bwawa la umeme vinaoneka nyie hayo mabillion mmeyapeleka wapi?
Acha Ubaguzi wa kuiondoa CCM- nayo pia ije na mrejesho point by point- ruzuku yake inatumikaje?Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Ni kweli je na chadema mmefanikisha nini kwa mabillion ya umma?Tangu Mwendazake afariki hakuna ccm ilichofanikiwa zaidi ya kukodisha bandari ya Tanzania kwa Waarabu wa Dubai?
Ruzuku ifutwe ,ni wizi mtupuWatoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year