Wale aliowabeba kwenye malori na kuwapa baiskeli mkweche nao wamemkataa

Wale aliowabeba kwenye malori na kuwapa baiskeli mkweche nao wamemkataa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage.

Akatapakaza picha zenye sura yake nchi nzima ,akakamata na kufunga wapinzani wote jela , ili kujisafishia njia lakini bado umma uleule ukamkataa.

Ule msemo wa "mwenye kimavi, haachi kunuka", hatimae umekamilika kupitia kiumbe huyu wa ajabu.. Maumivu ya kukataliwa ni makali mno ndani ya nafasi ya kiumbe huyu. Na sasa amegeuka muwindaji wa nafsi za umma.

Lakini mbaya zaidi ni uzao wa kiumbe huyu ambao wenyewe umeibuka na mawindo ya kustaajabisha". "

Naaam, uzao wa kiumbe huyu wenyewe unawinda vinyeo vya waTanganyika. Hakika kama taifa tupo katika sintofahamu, ya kuamua kulinda nafsi zetu au Tako zetu !!!!!.

Adioosss!!!!!
 
Kwahiyo unafikiri wao ni ng'ombe hadi walizie kubebwa kwa malori kama nyumbu, walienda sababu ya njaa tu maana nasikia walipokea kamshahara kufanya hivyo.
 
Kuna wengine wamebaki na ulemavu kutokana na ajali za matrekta na malori
 
Baiskeli mkweche ,maza faka umenikumbusha kitambo 1999 .Kuna ndugu alikuwa anaumwa malaria huko bush .Sasa zoezi la kumpeleka na kumrudisha kwenye sindano za masaa nikapewa mimi.Sasa mimi nilikuwa bingwa wa kupiga pedeli ila siku hiyo nikiwa speed nikambwaga k mgonjwa kwenye machangarawe mbona malaria ilimtoka na akarudi nyumbani mwenyewe kwa miguu huku jasho linamtoka😀😀😀
 
Back
Top Bottom