Hahahhaha kukusemea kwa mtekaji hapo sawa hilo nitawezahahahah.... basi unisemehe kwa mtekaji kama ukikuta bado nna namba ya cutey..
kwanza leo nimeangalia dp yake kabla sijafuta namba nikaona kajichubua huyo ndio nikapata moto wa kufyekelea mbali namba yake kawa mweupe akati weupe mzur ni ule natural kama wa insta babe [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
UkomeeeHahhahaahha
Na hela yenyewe sijapata na text hazijibiwi kumbe ameshakuja kwako
hahahaha kwa weusi upi ulionao instababe.... rangi ya mtume hyo kabisaHahahhaha kukusemea kwa mtekaji hapo sawa hilo nitaweza
Hivi na huu weusi wangu insta babe mbona unapenda kunijaza lakini
ShkamooAlafuuuuuu
Marahabaaaa!Shkamoo
Ndiwooo auntie wangu kipenziMarahabaaaa!
Kwahiyo wewe nawe bikra?!!!!!
Unataka ugundue nini?Ndiwooo auntie wangu kipenzi
Unahisi amri inavunjwa jinsia moja
Unahisi amri inavunjwa jinsia moja
Au umesahau tofauti ya single na double.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umefurahi hapo mwenyewe nilivyochinjiwa bahariniUkomeee
Muende mbinguni auntieAlafuuuuuu
Huu nilionao insta baby hivi umeshanisahau nilivyohahahaha kwa weusi upi ulionao instababe.... rangi ya mtume hyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Marahabaaaa!
Kwahiyo wewe nawe bikra?!!!!!
Ndiwooo auntie wangu kipenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka ugundue nini?
hahahah... ista babe mbona unakataa rangi yako akati wenzako wanaililia hyo hadi wanaitafuta kwa chemicals [emoji23]Huu nilionao insta baby hivi umeshanisahau nilivyo
Hahahhahah insta babe una mpango gani na mbavu zangu nacheka sanahahahah... ista babe mbona unakataa rangi yako akati wenzako wanaililia hyo hadi wanaitafuta kwa chemicals [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
yani mm ndio sielewi una nia gani insta babe kukataa rangi yako [emoji23][emoji23] wanaoihitaji hyo rangi na hawana wakikusikia watakuroga nakwambia [emoji23][emoji23]Hahahhahah insta babe una mpango gani na mbavu zangu nacheka sana
Eti nakataa rangi yangu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani mm ndio sielewi una nia gani insta babe kukataa rangi yako [emoji23][emoji23] wanaoihitaji hyo rangi na hawana wakikusikia watakuroga nakwambia [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe huyo kwenye avatar kwani ni nani vile embu nikumbushe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Insta babe ebu ngoja kwanza ujue mm ni cheusi mangala ndio mana huwa nakwambia huyo unayemuona huko ananiharibia sana jamani