Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

hahahah.... basi unisemehe kwa mtekaji kama ukikuta bado nna namba ya cutey..

kwanza leo nimeangalia dp yake kabla sijafuta namba nikaona kajichubua huyo ndio nikapata moto wa kufyekelea mbali namba yake kawa mweupe akati weupe mzur ni ule natural kama wa insta babe [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha kukusemea kwa mtekaji hapo sawa hilo nitaweza

Hivi na huu weusi wangu insta babe mbona unapenda kunijaza lakini
 
Hahahhahah insta babe una mpango gani na mbavu zangu nacheka sana

Eti nakataa rangi yangu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
yani mm ndio sielewi una nia gani insta babe kukataa rangi yako [emoji23][emoji23] wanaoihitaji hyo rangi na hawana wakikusikia watakuroga nakwambia [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani mm ndio sielewi una nia gani insta babe kukataa rangi yako [emoji23][emoji23] wanaoihitaji hyo rangi na hawana wakikusikia watakuroga nakwambia [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Insta babe ebu ngoja kwanza ujue mm ni cheusi mangala ndio mana huwa nakwambia huyo unayemuona huko ananiharibia sana jamani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Insta babe ebu ngoja kwanza ujue mm ni cheusi mangala ndio mana huwa nakwambia huyo unayemuona huko ananiharibia sana jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe huyo kwenye avatar kwani ni nani vile embu nikumbushe [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom