Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahhaha kukusemea kwa mtekaji hapo sawa hilo nitawezahahahah.... basi unisemehe kwa mtekaji kama ukikuta bado nna namba ya cutey..
kwanza leo nimeangalia dp yake kabla sijafuta namba nikaona kajichubua huyo ndio nikapata moto wa kufyekelea mbali namba yake kawa mweupe akati weupe mzur ni ule natural kama wa insta babe [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na huu weusi wangu insta babe mbona unapenda kunijaza lakini