Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Labda vitabu vinatofautiana..hata mim enzi nasoma mafundisho ilikua ni amri ya sita kwenye kateksimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huko kwenye kateksimo ndio kulianzisha hili. Nakumbuka enzi hizo kwenye mafundisho ya kipaimara mwinjilisti kauliza amri ya sita inasemaje tupo 'usiziniii' akatuambia mmeona biblia ya wapi amri ya sita inasema hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom