General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda vitabu vinatofautiana..hata mim enzi nasoma mafundisho ilikua ni amri ya sita kwenye kateksimoAmri ni ya saba kweli lakini imezoeleka kuitwa ya sita sijui ni kwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huko kwenye kateksimo ndio kulianzisha hili. Nakumbuka enzi hizo kwenye mafundisho ya kipaimara mwinjilisti kauliza amri ya sita inasemaje tupo 'usiziniii' akatuambia mmeona biblia ya wapi amri ya sita inasema hivyoLabda vitabu vinatofautiana..hata mim enzi nasoma mafundisho ilikua ni amri ya sita kwenye kateksimo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha hahaha
Mie sisemiii.... Kwani sijui kukufa eeehhh
Kuuanzaje kivipi tena mangi
Asante mkuu
Hahaha hahaha
Hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka sana kama chizi
Dah!!Nimeikimbia zinaa mangi cc Sakayo
@sakayo ukuje unijibie
Hahhahahhah nacheka mm jamaniNatoa mshahara wangu woote fungu la kumi aki
Abeeeeeee@sakayo ukuje unijibie
Unacheka nini etiHahhahahhah nacheka mm jamani