Wale ambao bado tuko macho mida ya wanga hebu tujuane

Yaani ukilala kisha ukaamka kwenda kujisaidia ndo imetoka hiyo.

Stress zinakuja eti tangazo la kuondoa noti kwenye mzunguko linanihusu nini wakati sipo ktk mzunguko wa hela
Tatizo ilooo🤭🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…