Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
-
- #61
kuja kichawi hapana kwakwelπNilikwambia nakuja kwako nayo ukaluka kama kale ka wimboππππ
Kunywa chai kwanza,unaamka asubuhi sa 11 huku huna kazi ya kufanya?Aya mkuu sa kum na moja ndo hii nipo hai bado,swalamaaa uh hali gani
Ulizingua kwa kujifanya huelewi ulichoambiwa na bibie, kwamba katika kiza mlichokuwa nyie peke yenu useme chochote na yeye yupo tiyari. Unaanza kuleta habari tofauti...ulitaka upewe nini mkuuYeye ndo kaluka tena kakimbia kama ile nyimbo ya "fukuza kunguru" πππππ
afu anakuja kujitutumua hapa eti mim ndo nilkimbiaKashindwa mwenyeweππ
Mkuu si kingine n mbususu Tu mkuu,ila aliijua ile kala wingaπUlizingua kwa kujifanya huelewi ulichoambiwa na bibie, kwamba katika kiza mlichokuwa nyie peke yenu useme chochote na yeye yupo tiyari. Unaanza kuleta habari tofauti...ulitaka upewe nini mkuu