Wale ambao hatuna hata mtoto wa kusingiziwa tukutane hapa

Wale ambao hatuna hata mtoto wa kusingiziwa tukutane hapa

Tunafeli wapi mpaka Sasa hivi hatujafanikiwa hata kutia binti wa Watu ujauzito.tuweni serious jamani tuache kutoa mbegu kwa mkono tuzipeleke sehemu sahihi na sisi tuitwe baba
Kuna mbegu zingine hazina mbolea, usijilaumu nenda tu kapime ili ujuwe una (mna) matatizo gani.
 
Unakuta kuna kijana humu kakataa mimba alafu anasema hana hata mtoto wa kusingiziwa.

Napita tuu🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom