Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sio kazi ya mtoto kulea wazazi wala hakuna haja ya kuwwategemea wakutunze uzeeni au kuwalaumu wasipofanya hivyo.
Huwa nataman sana kuishi bila Mtoto ila niwe na mke(Natafuta mke ambae hazai au hana mpango wa kuzaa) ,sijaona faida za kuwa na watoto mpaka sasa,ingawaje nimejkuta Kuna kibinti kmoja kimeniingiza mkenge kimeshika ujauzito,
Nilishawahi kutafakari hilo la kuzeeka au ukiugua nani atanihudumia kwa moyo wote kama ambavyo mke au watoto wangefanya,lakin watoto wa siku hz hawana msaada sana kwa wazazi wao,akishapata familia yake,wazazi ana wasahau.