So unaoa ili upate muuguzi wa kukuuguza uzeeni?! Nina maswali kwako mkuu.
So wewe kwasasa una amini mwanamke ni muuguzi wa mwanaume uzeeni?!
Unaamini mwanaume hatima ya maisha yake ni kuumwa na kuuguzwa na mwanamke?!
Ni vipi kama huyo utakaemuoa akifariki kabla yako na wewe ukaendelea kuishi miaka 40 zaidi huko mbele bila yeye?!
Haujawahi kuona mzee mwanaume wa miaka 80 anaeishi na mkewe akiwa na afya imara sana tu?!
Je, mkeo akiumwa akapata terminal illness itayomuacha kuwa mgonjwa wa kuhudumiwa kama kichanga utachukuliaje maisha ya ndoa?! Utamtelekeza?!
Je, watoto wako hawawezi kukuhudumia?!
Je, hauna ndugu, jamaa na marafiki?!
Je, hauwezi kuongeza jitihada zako katika kujitunza kwasasa ili ufike umri huo ukiwa imara na afya tele.....?!
Una mengi ya kujifunza kijana...... Maisha hayapangwi na mwanadamu ni wewe na MUNGU wako. ...sasa kama ushaanza kujiona mgonjwa katika ujana sijui kama utazeeka salama.
Sent using
Jamii Forums mobile app