Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

Kweli lengo la maisha ni furaha na sehemu ya ukamilifu wa furaha ni maisha ya ndoa.
Ndoa za siku hizi zimekua shubiri, ile furaha tarajiwa haipo tena, lakini zile faida za ndoa zipo na hakuna replacement yake.
Kwa namna hio unapo tafuta mbadala wa ndoa inabidi mchakato wake uwe was muda mrefu.
 
Mtakuwa mnajinyea na hakuna wa kuwaosha mnathamani marafiki watakuwa wanawapita tu kama hawawaonj
dada usiwe mkali hivo, tushirikiane kuitoa jamii katika kuamini ndoa na uzao kuliko hata uhai na ustawi wao wenyewe katika mambo ya msingi. mf ukienda makanisan na kwa waganga wateja wengi ni kuhangaikia ndoa na kupata uzao. hadi wanaishia kufanywa vya kufanywa ikiwemo kufilisika na kudhalilishwa. pia angalia visa vya unyanyasaji kisa ndoa hadi mtu anatolewa uhai kwa jambo hata si lazma ukilinganisha na thaman ya uhai wake. angalia misongo na kejeli kisa ndoa au mtoto. cha ajab anayetaka mtoto hivyo ukimpa mtoto toka ustawi hamtaki! hali ilivyo ni kama steam engine imeshashika kasi, hakuna cha brek. sasa kama kuna hoja ya kimkakat hata wanawake watoe mahari, kwanin hata tusiende mbali zaid kuwa si lazma ndoa! kitu cha lazima ni kupumua! yan unakuta mtu amehangaika kupata kitu kigumu ..PESA alaf anaipoteza kupata kitu cha kawaida km ndoa au mtoto kisa tu jamii imejiaminisha ni vitu si vya kukosa km u mwanadam!
 
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.

Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.

Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
 
tatzo si kufa. tatzo ni kutojua baada ya kufa unakuweje! kujiua hakujawai kuwa rahis kama ulivochapa. wahehe nawaogopa sana mimi.
hebu tupeane mikakat kuhusu sera, sheria,na mipango. mf napendekeza makampun makin yaanzishe BIMA ya kutunza wazee kwa hadhi zao.
Baada ya kifu unakuwaje tena kivipi braza...sii ulishamufa ama wee unaongelea kufa tofauti na mimi.

Sijui wewe ila mie nafsi yangu inanisuta kabisa kuwa wewe mzabzab ukifa ni wakichomwa motoni tuu.
 
Kuoa sio lazima mbona tunafyatua risasi na bado hatujao braza....unajua wengine unafiki wakusema kiwa nimeoa alafu uishia kichepuka hatutaki maana tunajijua kiwa papuchi mona haitutoshi
Usipo oa, usipo zaa, huo urijali wako utauonesha wapi?
Usiwe haudindi alafu ukasingizia mambo mengine ili usioe.

Nasema hivi kama mwanamme rijali kabisa (bunduki imejaa risisi) lazima uoe, hayo ya kuzaa mungu ndio anae jua.

Nikiwa kama kidume, nimeoa na nina watoto wawili (wakiume tupu) na shemeji yenu ana mimba ya miezi mitatu.
 
Baada ya kifu unakuwaje tena kivipi braza...sii ulishamufa ama wee unaongelea kufa tofauti na mimi.

Sijui wewe ila mie nafsi yangu inanisuta kabisa kuwa wewe mzabzab ukifa ni wakichomwa motoni tuu.

Kama inakusuta then tubu, mbaya ni kujua wewe ni wa motoni na uko comfortable..lol
 
HUMU KUMBE MNAJUANA! halloo hilo la majumba ya wazee kwa huku ni kama majumba ya wazee matahira. lakin ulaya sera zao ni mahali salama kumalizia mda wako dunian
Basi anzisha jumba lako..la wazee..Kama ukizeeka maana waweza kufa hata leo..

Utaungana na wazee wenzako huko
 
Mkuu, kuoa sio ndio hautoki nje, hapana.
Inajulikana tangu zamani kua mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja, ndio maana Waislam wameruhusiwa kuoa zaidi ya mwanamke mmoja.

Kuoa sio lazima mbona tunafyatua risasi na bado hatujao braza....unajua wengine unafiki wakusema kiwa nimeoa alafu uishia kichepuka hatutaki maana tunajijua kiwa papuchi mona haitutoshi
 
Mchongo huo---wajanja wacha tufungue Nursing home soon ntakua napokea wake kwa waume wazee wasiojiweza kujitunza na kujihudumia wenyewe.
 
kufa bila kuishi ni hali ya kuwa na majukum yasiyoisha kias kwamba kila ukimaliza hili upumzike kula matunda ya kazi ya mikono yako(UISHI), unajikuta una jukum linakusubiri la muhim. ni kama kufikisha miaka 70 bado unasomesha. kuna age uanze kula ulichopanda. usiwe na jukum lisiloepukika km ujenzi wa makaz, kusomesha, biashara ya kusafiri, kuoa/kuolewa. utaishi mda mrefu zaid.

Umechekesha Sana

Maisha ni haya haya ndugu

Hakuna kuishi kama unavyofikiri.

Toka unazaliwa unaishi.

Kuhudumia familia ni sehemu ya maisha ....ndio kuishi kwenyewe.

Hata huko mbeleni unaweza pata magonjwa yasiyoisha, pesa yako ikaishia kujitibia.

Mradi unapata hela ya kula, mavazi, malazi

Unataka kuishi kupi wee mtu?
 
Kama umeamua kutooa, manake hauna ada za watoto kuwalipia. Hauna mahitaji ya mke na familia. Muda wako wote ni ww tu. Basi sasa tumia fursa hio nzuri KUWA NA BIASHARA AU ASSETS NZURI SANA. Manake wealth za kutosha. Ukiwa na pess, utapata watu kibao wa kukuhudumia uzeeni.

Siku hizi tena wanawake ndio wanaua waume zao mapema kwa sumu, presha, au maradhi.
 
wewe sasa kama una mpamgo wa kuoa na uanelekea 40 shika kalam na karatasi, piga hesab za mtoto wa kwanza hadi anamaliza chuo utakuwa age gani, na last born utakuwaje. utajikuta kuna hatar ukafa hujawai kuishi. unahangaika na familia tu! ila kama utashupaza shingo bas niongeze tu USIOE BINTI AU DADA MDOGO KUIFURAHISHA NAFS KUWA UMERUDI UJANANI. utaishi kwa tabu ya hofu ya kuibiwa na hofu ya underperformance kias kwamba katakupelekesha ka mke dogo dogo utakufa mapema mno. oa mkubwa mwenzio. kama ameachika ni added advantage.
Sasa aoe yupi? Wote ambao umri umeenda na hawajaoleea ni reject. Manake hakuna mtu alitaka kuwaoa na ndio maana wako single. Sasa aoe reject?. Hapana. Apambane na hako ka umri mdogo tu na kukakunja vizuri sababu SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
 
Bima ya kutunza wazee inaweza kuwa mwa 40 kwa tulijiepusha n'a upepo mbaya uitwao ndoa
 
Ndoa ni sakreamenti takatifu..na kabla hujaingia ndoani sugua goti Mungu akupe yule aliye sahihi na mwenye hofu yake.

Embu oeni huko mfyuuu.
 
Back
Top Bottom