Huwa nataman sana kuishi bila Mtoto ila niwe na mke(Natafuta mke ambae hazai au hana mpango wa kuzaa) ,sijaona faida za kuwa na watoto mpaka sasa,ingawaje nimejkuta Kuna kibinti kmoja kimeniingiza mkenge kimeshika ujauzito,
Nilishawahi kutafakari hilo la kuzeeka au ukiugua nani atanihudumia kwa moyo wote kama ambavyo mke au watoto wangefanya,lakin watoto wa siku hz hawana msaada sana kwa wazazi wao,akishapata familia yake,wazazi ana wasahau.
Tuwakumbuke wazee wetu jaman,n jukumu letu tusilikwepeSio kazi ya mtoto kulea wazazi wala hakuna haja ya kuwwategemea wakutunze uzeeni au kuwalaumu wasipofanya hivyo.
we hutaki majukum kana kwamba wazazi wako hukuwapa majukumu.. akili fupi
Tuwakumbuke wazee wetu jaman,n jukumu letu tusilikwepe
Sijui km nimeelewa swali vzr[emoji848],,,,,
ila Kuolewa ni heshima kwa mwanamke na familia yake.
Aisee,una roho ngumuSio jukumu la mtoto kulea mzazi, ni hisani tu.
Aisee,una roho ngumu
,👍Umechekesha Sana
Maisha ni haya haya ndugu
Hakuna kuishi kama unavyofikiri.
Toka unazaliwa unaishi.
Kuhudumia familia ni sehemu ya maisha ....ndio kuishi kwenyewe.
Hata huko mbeleni unaweza pata magonjwa yasiyoisha, pesa yako ikaishia kujitibia.
Mradi unapata hela ya kula, mavazi, malazi
Unataka kuishi kupi wee mtu?
Mzee wewe ni baharia nini?!!Zipo nying sana:-
1.hutapoteza muda ktk malezi,Mara kwenda kilinik
2.pesa yako haitatumika kwenye maswala ya ada ya watoto
3.unaweza epuka magonjwa ya moyo maana Kuna mitoto inatabia za ajabu znazoweza kukupelekea kupata stress
4.hakutakuwa na kelele nyumba,n.k
😳🤣🤣Kuishi bila kuwaza Leo watu wangu watakula nn,ni maisha yenye amani sana,yaan nakuwa najiwazia Mimi tu,Nile nn,ninunue nn,niende wap na kwa muda gani,aisee full starehe
Unadhani kwanini tuliumbwa jinsia tofauti? au kwa nini binadamu amewazidi wanyama kiutashiKwa nini ni heshima kwa mwanamke kuolewa? Ukizingatia kuna wanawake wengi wameolewa ila wana maisha mabovu sana na kuna wengi hawajaolewa wana maisha mazuri na ni msaada mkubwa kwa jamii inayowazunguka.
Shida aliyeachika Siku zote anakuwa na watoto tayari.wewe sasa kama una mpamgo wa kuoa na uanelekea 40 shika kalam na karatasi, piga hesab za mtoto wa kwanza hadi anamaliza chuo utakuwa age gani, na last born utakuwaje. utajikuta kuna hatar ukafa hujawai kuishi. unahangaika na familia tu! ila kama utashupaza shingo bas niongeze tu USIOE BINTI AU DADA MDOGO KUIFURAHISHA NAFS KUWA UMERUDI UJANANI. utaishi kwa tabu ya hofu ya kuibiwa na hofu ya underperformance kias kwamba katakupelekesha ka mke dogo dogo utakufa mapema mno. oa mkubwa mwenzio. kama ameachika ni added advantage.
We una akili nying sn. Hv wivu huwa unapungua kwa umri au ni yale yale.? Nadhan kuna umri baadh ya matatzo hujisolve kwa kuyapa nafas kidogo ikiwemo wivu. Kiwango cha busara na hekima huwa juu zaid. Wanaume weng hatusemi lkn tuna magonjwa meng yanayotokana na wivu wa kuibiwa hasa ukishaanza ku underperform. kuliko hata magonjwa ya kipesa. Nawakubali jamii wanaothamin pesa kuliko heshma ya mke. Tunatofautiana. Kama kuoa ni hakuna namna kijamii bas at 50 inafaa zaid.Mimi mipango yangu ni kuowa nikifika 50 na apo nitaowa Maza wa miaka53 kwaiyo apo ni kufarijiana Tu na kutafuta wa kumalizia uzeee
Narudia tena. KATI YA MAKOSA MAKUBWA MWANAUME HUTAKIWI KUFANYA NI KUOA BINTI AU MWANAMKE UNAMZID SANA UMRI. UTASHINDANA NA HOFU YA USICHOKIONA HAD UUGUE MAGONJWA YASIYO NA MAJINA. MAANA WE NDO UTAKUWA WA KUPENDA TU BILA KUJUA UNAPENDWA AU UNAHITAJIKA! LABDA KAMA UNAOA KWA AJIRI YA APPRECIATION YA KIJAMII NDAN UKIUGULIA. Oa mtu mko na lugha moja na mtazamo mmoja ki rika.Shida aliyeachika Siku zote anakuwa na watoto tayari.
Dawa ni kuoa kasichana kadogo ili umalizie Siku zako kwa raha mustarehe.
Mbona madingi wanasimamia show vizuri tu,kikubwa ule vyakula na mazoezi ya kukimbia daily.