Wale ambao huwa mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kimya kimya hii kitu inawahusu

Ujinga wa Watanzania hujionyesha katika hizo imani potofu.

Ni vigumu mno kuwashawishi Watanzania kuwa hizo imani ni fiksi tu.

Hata humu JF ni wangapi ambao hatuyaamini hayo mambo?

Si ajabu hata watano hatufiki.
 
Zaidi ya hayoo mkuu ilimradi jitahidi unywe kama majiyako yakunywa mirija inawekwa super mishipa balaa kila saa iinaamka kutaka kutikisa dunia
Basi sawa mwanawane.....ngoja nijaribu
 
Mpwa ukiona mtu anatangaza kuu kapigwaa nao na kitu kizito
Mpwa mganga hakumvuta na kamba. Alienda yeye. Hiyo ni imani kama ameshindwa kuiamini akae kimya kama mimi. Ni sawa na mkiristo kusema shekhe auliwe kisa hamuamini.
 
Mpwa mganga hakumvuta na kamba. Alienda yeye. Hiyo ni imani kama ameshindwa kuiamini akae kimya kama mimi. Ni sawa na mkiristo kusema shekhe auliwe kisa hamuamini.
Kabisaaa mpwaaa sema kama kuna channel zao za uhakika weken hapa watu watoke watz wanateseka mikoan

Ajabu waganga wanaoheshimika wengi wako vijijini mpwaa
 
Kwahiyo mlienda kutafuta PESA.
 
We unaamini nini Mkuu katika ulimwengu wa kiroho
Ujinga wa Watanzania hujionyesha katika hizo imani potofu.

Ni vigumu mno kuwashawishi Watanzania kuwa hizo imani ni fiksi tu.

Hata humu JF ni wangapi ambao hatuyaamini hayo mambo?

Si ajabu hata watano hatufiki.
 
Waganga wengi ni maagent wa uharifu.
Wanaowategemea waganga ni wajinga sana. Sasa hivi hadi wachungaji wanawategemea waganga kama sio wenyewe kujigeuza waganga.

Mtachinjwa sana kama mkiendea kuacha kutegemea Juhudi, Mungu na Maarifa.
 
Hao waganga wapuuzi San🚴
 
Ujinga wa Watanzania hujionyesha katika hizo imani potofu.

Ni vigumu mno kuwashawishi Watanzania kuwa hizo imani ni fiksi tu.

Hata humu JF ni wangapi ambao hatuyaamini hayo mambo?

Si ajabu hata watano hatufiki.
Kweli tuko wachache na ukimuambia mswahili huamini ushirikina ety anakuona unaringa
Wengine mpk wanataman wakuonjeshe show ili ukome ubishi .
Ni washenz xnaa hawa watu .
 
Kweli tuko wachache na ukimuambia mswahili huamini ushirikina ety anakuona unaringa
Wengine mpk wanataman wakuonjeshe show ili ukome ubishi .
Ni washenz xnaa hawa watu .
Hahahaa hakuna hata mtu mmoja anayeweza kukuthibitishia kuwa uchawi upo.
 
Yaani kwa sie tusio amini mambo ya kichawi tujifunze kua wakimya msije bishana sehem yenye watu wengi hasa wazee, ukajidai we ni konki huamini uchawi
Hawa watu ni washenz xnaa
Ni washenz xnaa hawa pumbav zao siku nikikuta mchawi kakamatwa ntampiga kama mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…