Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Zaidi ya hayoo mkuu ilimradi jitahidi unywe kama majiyako yakunywa mirija inawekwa super mishipa balaa kila saa iinaamka kutaka kutikisa duniaKwa hiyo hii threesome naweza piga kwa masaa sita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya hayoo mkuu ilimradi jitahidi unywe kama majiyako yakunywa mirija inawekwa super mishipa balaa kila saa iinaamka kutaka kutikisa duniaKwa hiyo hii threesome naweza piga kwa masaa sita?
Basi sawa mwanawane.....ngoja nijaribuZaidi ya hayoo mkuu ilimradi jitahidi unywe kama majiyako yakunywa mirija inawekwa super mishipa balaa kila saa iinaamka kutaka kutikisa dunia
Mpwa mganga hakumvuta na kamba. Alienda yeye. Hiyo ni imani kama ameshindwa kuiamini akae kimya kama mimi. Ni sawa na mkiristo kusema shekhe auliwe kisa hamuamini.Mpwa ukiona mtu anatangaza kuu kapigwaa nao na kitu kizito
Kabisaaa mpwaaa sema kama kuna channel zao za uhakika weken hapa watu watoke watz wanateseka mikoanMpwa mganga hakumvuta na kamba. Alienda yeye. Hiyo ni imani kama ameshindwa kuiamini akae kimya kama mimi. Ni sawa na mkiristo kusema shekhe auliwe kisa hamuamini.
Wilaya gani?
Hapoo mwisho ndio ilikuwa swali langu mkuu huwa nikiona post za wagangaa nauliza waliopenya walifika kwa waganga wakaona wanavyoishii.....
Niliwahii kwenda na jamaa bagamoyo kufika mazingira niliooona nikaishia kumsubiria kwenye gariii
Aliporudi akaulizaa mbona mpwa umebaki ndani jamaa yuko vizuri nkamwambia sasa kama huyu bwana anaweza kudouble 20mil kwa nn aishi nyumba ya aina hii aisee
Mengine tunamsiingizia shetan...
Sanaaaa Mungu atupe utimamu wa akiliKumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa
UKO SAHIHI SANAA TUImani za uganga hazina tofauti sana na imani za dini
Ujinga wa Watanzania hujionyesha katika hizo imani potofu.
Ni vigumu mno kuwashawishi Watanzania kuwa hizo imani ni fiksi tu.
Hata humu JF ni wangapi ambao hatuyaamini hayo mambo?
Si ajabu hata watano hatufiki.
Hao waganga wapuuzi San🚴Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikua amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia.
Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikua ni nidhamu. Jamaa alikua anafungua Mapema sana na Kufunga saa sita usiku. Kitu pekee niliona Kama red flag ni Imani za kishirikina na niliwahi kumwambia kabisa haya mafanikio yako ni juhudi sio uganga lakini hakuwahi kuamini.
Mwaka 2023 alitoa Pesa zake zote bank Kama million 50 hapo na kuzipeleka kwa Mganga kwa ahadi za kuzifanya ziwe million 100. Ghafla akawa hapatikani. Baada ya wiki moja mwili wake ulikutwa mtoni ukiwa umechinjwa na kutobelewa macho.
Postmortem ilionyenya kwamba mwili ulikua Kama na masaa machache baada ya kifo. Inaonekana walikaa naye kama wiki moja Kabla ya kumchinja
Mke wake alipoenda bank alikuta deni la bank huku account in 200k tu. Yule Mganga alikua suspect na kukamatwa baada ya kufanya marekebisho ya nyumba, kununua Gari na vitu Vya thamani kwa muda mfupi tu lakini pia yeye kua wa Mwisho kuwasiliana na marehemu na baadhi ya Simu za Kazi za marehemu kukutwa kwake.
Lesson: waganga wangekua na dawa ya pesa wangetengeneza pesa zao kwanza.
Siamini chochote.We unaamini nini Mkuu katika ulimwengu wa kiroho
Kweli tuko wachache na ukimuambia mswahili huamini ushirikina ety anakuona unaringaUjinga wa Watanzania hujionyesha katika hizo imani potofu.
Ni vigumu mno kuwashawishi Watanzania kuwa hizo imani ni fiksi tu.
Hata humu JF ni wangapi ambao hatuyaamini hayo mambo?
Si ajabu hata watano hatufiki.
Hahahaa hakuna hata mtu mmoja anayeweza kukuthibitishia kuwa uchawi upo.Kweli tuko wachache na ukimuambia mswahili huamini ushirikina ety anakuona unaringa
Wengine mpk wanataman wakuonjeshe show ili ukome ubishi .
Ni washenz xnaa hawa watu .