Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Ahh nilirusha mpesa ya Fastjet oneway ikaliwa, nikawa mpole sana nikajua nina kiherehere nikakoma, TUNAJIFUNZA KWA MAKOSA TUNAYO YAFANYA. ndo maana nikitongoza demu akiomba hela mapema situmi maana tunaweza tukaachana muda wowote hata kabla ya kuonana
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]
 
Ahh nilirusha mpesa ya Fastjet oneway ikaliwa, nikawa mpole sana nikajua nina kiherehere nikakoma, TUNAJIFUNZA KWA MAKOSA TUNAYO YAFANYA. ndo maana nikitongoza demu akiomba hela mapema situmi maana tunaweza tukaachana muda wowote hata kabla ya kuonana
Kweli kabisa aisee....km hana nauli bora apambane na hali yake
 
Hivi inakuwaje wadau demu unamtumia nauli baada ya kupokea hela anapiga kimya haji wakati mshakubaliana aje kwako ? .Naomba michango
Huwa iko hivi, unaongea naye kila kitu anakubali hakuna anachokataa hata kimoja akikubali unajiona bogus unafurahi sana, sasa anakwambia nirushie nauli nije huko hata kesho nakuja AHAHAHA TUMA UONE SASA, labda awe mngwana na haelewi huo ujanja, ila wanafundishana siku hizi. wanasema ukimuona mwanaume anakuzimikia usimkatae mkubali tu maana utamtoa hela atakupa ila akitaka ile kitu mkatalie mpe sababu lukuki
 
Daaah
 
Mimi nadhani hicho ni kiherehere tu kutuma nauli, siku nyingine fanya hivi, mwambie akope kisha aje halafu utairudisha siku anaondoka unampa akarudishe kama kweli amekopa au hata kama amekudanganya kuwa amekopa sio vibaya, kuliko kutuma pesa halafu asije inauna sana.
 
clopp maisha hawezi kopa, naye atakuwa hakuamini anajua unaweza ukamrusha, hawezi fanya makosa labda kama anakufahamu kwa undani sana na uwezo wako si vinginevyo
 
Back
Top Bottom