Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuh ulimkomesha kwa kweli khaaahHahaha unanikumbusha mbali sana, nilintumia nauli demu aje Dar Toka Arusha akaishia mitini.
Baada ya miezi 6 nikamtafuta nikamwambia yameisha, nikaendelea kumtumia 10000, 15000 hadi 20000 nyingi tu.
Nikamjenga akajengeka nikamwambia nataka kumtambulisha kwa ndg zangu huko kijijini Sangamwalugesha (sio kijijini kwetu lakini just nilimdanganya).
Nikamtumia ya kufika hadi Tabora, enzi hizo hata huko Tabora sikujui, nikatafuta kijiji cha mbali kabisa, (hapa Kumbuka nilimtumia nauli ya kwenda tu, nilimwambia tutarudi wote)
Akafika huko kijijini usiku wa saa4 maana Kuna bus moja tu la zamu. Aliponiambia amefika nikazima simu!
Kesho yake nikamtumia msg kumuuliza mm anakumbuka Ile nauli ya kuja Dar aliyonitapeli......!
In short alienda kujitambulisha kwa mwenyekiti wa kijiji wamsaidie, maana enzi hizo hata huduma za mpesa/tigopesa hazikuwepo!
Mkuu umeniacha hoi kwaiyo ukasema akaenda kwa Mwenyekiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuh ulimkomesha kwa kweli khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me nmecheka had mbavu zinauma, ila hii iliwah kutokea kwa mtu naemfahamu.Mkuu umeniacha hoi kwaiyo ukasema akaenda kwa Mwenyekiti
😂😂😂Huu uzi unachelesha mnoMm nilipigwa 8000 ubungo to kigamboni, ilivyofik hela tu kaniambia mjomba wake kaja na hawez kutoka, akaniambia kesho ndio jumla. Mm sikufa moyo, kuna siku kasahau akanipigia simu nikamwambia nipo hapa ubungo njooo tupate kasoda akajisogeza mapaka kwenye baa flani hivi, wakat tunapata soda nikamwambia naomba simu yako nipige huku nokia torch yangu nimeweka mezani nikajifanya km natafuta network ndio nikapotea jumla na cm yake huku nikimuachia nokia torch
Alikuona babu jingaDo nimekoswakoswa kutapeliwa Jana eti nimtumie tiketi ya ndege mwanza dar kwa 85% nshaingia mkenge kutuma ndo nkampigia Dada yake Bunju kuwa una taarifa za mdogo wako kuja akanambia mbona yupo hapa ana wiki mbili aisee nimechoka mpk sasa hivi ametoka kupiga cm cjapokea aisee