Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Kuna jamaa alikua anachat na mimi akijua ni manzi mwenye simu (wife) coz alikua anamsumbua.....

Kajichetua nkamwambia atume nauli, ni wiki iliyopita tu akatuma tigo nikai-cross network kwenda voda ili isiweze kurudishwa then nkalipia deni M-PAWA.

Jamaa kaishia kulialia tu na line yenyewe nshaipiga moto.
Jasho LA mwanaume haliliwi bure
 
hahaaa namla hivyo hvyo manina usintanie
Unajua madhara ya kupiga dem yupo period, google mzee, yaan umalaya wanaume ndo unaotutesa. Maana kukikuta mwanamke yupo period hesabu siku saba baada ya siku ya meisho kutoka dam ndo anakuwa salama kwa matumizi. Siku zingine hizi tunajitakia matatizo. Maana hata bibilia imesema hivyo kwamba ukimkaribia mwanamke ndani ya hizo siku huwa yupo najisi.baadhi ya matatizo ni, kuwa tasa wote mwanamke na mwanaume, yaan mwanaume sperm zako zinadhoofika milele. Ingine ni matatizo ya mgongo hii pia ni kwa wote, kuziba mirija ya njia ya mkojo kwa mwanaume, kuishiwa nguvu za kiume/ kike. So wengi sana tumepiga wanawake wakiwa kwenye hedhi nikiwemo na mm
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naomba nisamehe kwa kweli nilienda kununulia carolite hiyo helaaa
Nawe ushawahi tumiwa kumbe halafu hukwenda[emoji15] [emoji15]
 
Unajua madhara ya kupiga dem yupo period, google mzee, yaan umalaya wanaume ndo unaotutesa. Maana kukikuta mwanamke yupo period hesabu siku saba baada ya siku ya meisho kutoka dam ndo anakuwa salama kwa matumizi. Siku zingine hizi tunajitakia matatizo. Maana hata bibilia imesema hivyo kwamba ukimkaribia mwanamke ndani ya hizo siku huwa yupo najisi.baadhi ya matatizo ni, kuwa tasa wote mwanamke na mwanaume, yaan mwanaume sperm zako zinadhoofika milele. Ingine ni matatizo ya mgongo hii pia ni kwa wote, kuziba mirija ya njia ya mkojo kwa mwanaume, kuishiwa nguvu za kiume/ kike. So wengi sana tumepiga wanawake wakiwa kwenye hedhi nikiwemo na mm
Mara moja moja sio mbaya mkuu ..hahaa
 
Ukianza kudate na msichana anakwambiya nitimie nauli,, elewa upo ndani ya penzi zito na KONDA WA DALADALA,,, sio mpnz huyo,,, wachana nae,, WENGI ni wepesi kudai nauli halafu anazinguwa
 
ukiombwa tena tuma ukiona anazingua kuja wapigie voda au tigo waambie umekosea kutuma hela urudishwe[emoji38] [emoji38]
 
Nasubiria walet nakwambia tuoge Kwanza tuanze mahaba ukiingia bafuni nakufungia na kufuli nabeba vinywaji na Chakula natembea Natumia mkoba nabeba pesaa zote nduki naenda kuacha ufunguo reception nawadanganya unataka kuniomba tigo nimekukimbia
Duuh aisee, wee ndo mwalimu wao nahisi
 
Hahahaha.....kuna demu nilimtumia nauli kutoka singida - dar.....akaila halafu hakuja na akakata mawasiliano......nikaona sio mbaya....baada ya nikamtafuta nikiwa mcheshi.....na uchangamfu like nothing happened..,.wala sikumuuliza.....baada ya kama wiki tatu nikamwomba tena aje....akasema hana nauli.....wala sikuwa na hiyana....mwanaume nikatuma tena....nikamwambia ntakupokea stend (coz hakuwahi kufika dar na hakuwa na ndugu kwa dar).....basi sijui binti aliona kapata bonge la bwana...hahahaha!!!!...akapanda gari aisee....kama utani....njiani naongea naye kwenye simu...nafuatilia kila sehem aliyofika.....kafika dar saa tano usiku.....ili tu kuhakikisha kweli kaja stendi nilikuwepo.....mpaka nikamuona....yuleeeeeee......hahahaha....nikazima na simu.....kudadeki sijui alilala wapi maskini......alikula nn...alirudi vipi kwao.....ila kiukweli mwenyewe iliniuma baadae.....kisasi nilichomfanyia ilikuwa too much...nilimpigia simu baada ya wiki moja.....alinitukana and kunilaumu sana.....aliapa hajawahi kufanyiwa kitu kama kile.....yani nilikubali niingie gharama mara mbili ili tu nimkomeshe....daaaaa...utoto huu....anyway..samahani sana Dada flora popote pale ulipo
Daaah aiseee watu mna visasi hatarii
 
Siku nmekaa jumapil sijielew elew nkapiga simu demu akanambia yupo KIBAMBA nmtumie naul aje aniliwaze, mzee baba nkatuma tsh 5000... saa 5 hyo asubuh kumpigia saa 7 ananiambia yuko kimara mwisho.....nikakaa imefika saa 9 akanambia ameahirisha haji tena bahat nzur nkampigia jamaa yang yupo customer care TIGO nkamwambia nmekosea hela 5000, baada ya muda nkapata meseji ya marejesho.....SIPENDAG UJINGA MM
 
Nilituma hakueleweka nikapiga voda kwamba nimetuma kimakosa mzigo ukatudi
 
kuna aliyeniomba pesa nikamwambia a wait nikikutana naye nampa mkononi alichokifanya sio poa kaniblock faster .... nikajuwa tu ao niwale wanawake wenye maumbile ya kiume wanaojifanya wanawake mitandaoni
 
Hahahahaha...hatar
 
Back
Top Bottom