Darleen
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 570
- 484
Mm nlituma nauli elf 50 moshi kuja morogoro nikiwa chuoni. Aisee nlienjoy sijaahi kuona,ila sasa gharama nlotumia ni laki kama 2, maana dem alikuja ijumaa nikakesha jumamosi, jumapili, dem akakataa kuondoka jumapili akasema anaomba ruhusa kazini na mm mfuko nauhurumia na nimeshapiga gem nimechakaa vibaya. Sihitaji tena. Ikabidi nimwambie nimeishiwa hela. Dem akajichanga elf 30 ya room, nikawa sina ujanja. Ilibidi nitumike zaidi ya uwezo wangu