Nick Furry
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 180
- 180
Hahahaha.....kuna demu nilimtumia nauli kutoka singida - dar.....akaila halafu hakuja na akakata mawasiliano......nikaona sio mbaya....baada ya nikamtafuta nikiwa mcheshi.....na uchangamfu like nothing happened..,.wala sikumuuliza.....baada ya kama wiki tatu nikamwomba tena aje....akasema hana nauli.....wala sikuwa na hiyana....mwanaume nikatuma tena....nikamwambia ntakupokea stend (coz hakuwahi kufika dar na hakuwa na ndugu kwa dar).....basi sijui binti aliona kapata bonge la bwana...hahahaha!!!!...akapanda gari aisee....kama utani....njiani naongea naye kwenye simu...nafuatilia kila sehem aliyofika.....kafika dar saa tano usiku.....ili tu kuhakikisha kweli kaja stendi nilikuwepo.....mpaka nikamuona....yuleeeeeee......hahahaha....nikazima na simu.....kudadeki sijui alilala wapi maskini......alikula nn...alirudi vipi kwao.....ila kiukweli mwenyewe iliniuma baadae.....kisasi nilichomfanyia ilikuwa too much...nilimpigia simu baada ya wiki moja.....alinitukana and kunilaumu sana.....aliapa hajawahi kufanyiwa kitu kama kile.....yani nilikubali niingie gharama mara mbili ili tu nimkomeshe....daaaaa...utoto huu....anyway..samahani sana Dada flora popote pale ulipo