Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

mie wiki iliyopita alisema nimtumie nauli nikakataa nikamwambia hapa sina emu jaribu kukopa sehemu kisha nitakurudishia utakapokuja kweli akafanya hivyo
 
Dah omba yasikukute hayo kira mara unampigia simu umefika wapi jibu lake ni moja tu bado sijaondoka mama kanipa kazi ila nakuja kesho simu haipatikani na mda huo wewe ulijinoa kweli uwe vzr kwenye mpambano
 
Demiss acha basi kuwafundisha wengine ujue wengine wanasoma wanajifunza eti, kama ndo hivyo basi ntakuwa nakuja kukuchukua tunasafiri wote ole wako ukikataa nije basi najua hapa noma
Ukija tunaenda hotel ninayoijua nakuacha reception nakuambia kaa hapo ngj nikachague chumba Leta hela nalipa alafu natokea mlango wa pili ndukiii
 
Ukija tunaenda hotel ninayoijua nakuacha reception nakuambia kaa hapo ngj nikachague chumba Leta hela nalipa alafu natokea mlango wa pili ndukiii
unaniunguzia nauli sio kwa hasira namchukua demu maeneo ndo atalala asubuhi nageuza sina maumivu makali
 
unaniunguzia nauli sio kwa hasira namchukua changu mwingine maeneo ndo atalala asubuhi nageuza sina maumivu makali
Hapo umeunguza nauli vinywaji na Nyamaa na hela ya chumba sipat Picha utakavyochukia
 
Aiseee umenikumbusha machungu...nakumbuka kabisa ilikuwa mwaka 2014..binti aliniambia nimtumie nauli..ambayo ilikuwa ni 3000 tu basi na mimi nikajiongeza nikamtumia elfu tano..kilichotokea...mung pekee ndo anajuaa..mana binti akasema mie siji tena...nna dhararula..aisee wanawake mungu anawaona
 
Poleeeee sana
 
Back
Top Bottom