Wale ambao ni ma-Atheist Tanzania kama mimi, niambie; ulifiakiaje hiyo conclusion?


Hate mimi pia nilisoma kitabu cha THE GOD DELUSION cha professor Richard dawkins, nakumbuka argument yake moja alipo uliza: "kwanini mungu wako we ni sahihi, na kuanza kutaja miungu yote ndani ya historia" . Hii argument niliangaika nayo sana ki-science, hatimaye ikabidi nichague; kujidanganya kwa kuziba masikio na macho; au kukubali ukweli kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa mungu.

kwahiyo nakuelewa sana mkuu🤝
 
emu tukumbushe, mungu alitokana na nini

afu ntamwachia Scars akufundishe philosophy kwani hii ndo expertise yake
hawezi kumaliza kufundisha philosophy hapa kwenye huu uzi.maana nayo ni zao la vichwa vya binaadam vyenye maelezo mengi kama bible.

Mungu ni nini???
 
Bongo hamna atheist, Hawa ni mapepo tu yamewavagaa
hata mapepo yakikusoma yatajisikia vibaya,hawa wamevuta zikawapeleka kula ugali mkubwa,sasa haya ndio mauza uza ya shibe.
 

Ndugu, mi sina expertise ya kubishana kuhusu kifo, ila ndo raha ya kuwa atheist, kama ujui unasema ujui au huna utalaamu.
Lakini nyie wenye dini, mnasema ukifa unaenda motoni, toa ushahidi!! kama huna, ilo ndo tatizo; acheni kuongea na kuubili vitu msivyokuwa na ushahidi.

Kuhusu imani: imani ni tatizo kubwa sana, kwani kama tukianza kuchukulia imani uzito, basi kila imani ni sahihi na sio sahihi.
kwanini mimi nikiamini jiwe lenye miguu tege ni Mungu inachukuliwa kuwa sio sahihi, wakati wewe unayeamini malaika wasio weusi wenye mabawa wanakusikiliza ukifumba macho na kusema vimaneno vya kilatini.

ilo swali ni la msingi, imani haitaji ushahidi, na hili ni tatizo.
bila ushahidi, unaweza kusema chochote na kukataa chochote.
put it simply, maneno yako hayana thamani

kuhusu roho: roho ni category ya dini, hakuna mwanasayansi alichapisha karatasi akidai kuna kitu kama roho
hakuna ushahidi wa roho kama vile hakuna ushahidi wa invisible dragons (mijusi wanaopaa wasio-onekana); kwasababu, VYOTE SIO SAYANSI...

NEXT!
 
1. ^Siku nikimjua Mungu nitamwabudu hadi afurahi^ Kumbuka Mungu siyo kama chungwa unaloweza kulifanyia cross-section dissection ukachunguza components zake kama citrus acids, viasili vya vitamins C, antioxidants, the simplest elements like C, H etc. If you have such an idea, basi jua prosposition yako imeanzia wrong end na not long inaelekea kwenye dead end. How much of God must you know before you can fully trust Him!???

2. ^Mimi nimeisoma Biblia kiundani^ You are talking. Pls share hivyo vitu ambazo umegundua baada ya kuisoma Biblia ^kiundani.^ I am more than eager kuzifahamu.

3. ^Inashindikana nini kuifanya miujiza sasa hivi kama wakati wa zamani?^ I believe miujiza, countless, enormous, fascinating and terrific are happening even of now as I am typing these little words. And they will continue occurring ^ad infinitum.^
 
hawezi kumaliza kufundisha philosophy hapa kwenye huu uzi.maana nayo ni zao la vichwa vya binaadam vyenye maelezo mengi kama bible.

Mungu ni nini???
Mkolintho, mi nilitaka wewe utukumbushe mungu alitokana na nini?
sio uniulize tena swali
 
Na ndio maana Kuna mambo huwa kwenye dini wana ya update maana watu wanaongeza maarifa so kukidhi magepu lazima wa update..😂

Hapo kwenye science Kuna kitu huitwa logic hiki hawapendi hata kusikia Hawa wa dini..😅
 

1. Emu tuelezee mungu yukoje, tupe ushuhuda wako tuusikie; "please share"
2. Emu tuambie hiyo miujiza
 

usahihi au kutokuwa kwa usahihi wa jambo inategemea unalifanya ukiwa wapi.wewe ukaite jiwe kubwa ni mungu,wakati wenye dini wanasema Mungu ni mmoja tu!!!unategemea watakuacha wasikubishie!!!ita jina lingine tu utakalo hata mama au baba sawa tu,napo wanafamilia yako hawatakuacha.

sasa kama hakuna mwanasayansi aliyewahi kuchapisha kuhusu roho,unaanzaje kuijudge imani ya dini kwa kutumia sayansi!!!sayansi ndio ina misingi hiyo kwamba kitu lazima kiwe na state 3.kama kikisikosa hicho sio kitu.
kuna nini cha kuendelea kubishana daily mnataka uthibitisho,kama sio kutojiamini na itikadi zenu!!!
 
Mkolintho, mi nilitaka wewe utukumbushe mungu alitokana na nini?
sio uniulize tena swali
kuna namna tatu ya kujibu swali mkuu.
na ukumbuke haya maswali sio kama unaulizia jina la mtu.

ni sawa na mtoto mdogo akuulize"kwanini mama yake huwa analia usiku"huwezi kurupuka kusema huwa anapigwa.
lazima upime upeo wake kwanza.
 
Kakataa kuelewa jambo kivipi na wakati kaelewa na ndio maana kaja kuhitimisha hakuna mungu?
wewe ulimnukuu aliyeleta kifungu cha bible.

biblia imemwita,MPUMBAVU anayedhani hakuna Mungu.
 
Very interesting. Kusoma Biblia sana ndo kukakufanya usimwamini Mungu. Mi najua ingekuwa kinyume chake. Kwamba ukisoma Biblia ndo unamjua Mungu zaidi
kwako ilikuwaje. ni maandiko yapi yalikutoa kwenye mstari
tuweke wazi
 
Na ndio maana Kuna mambo huwa kwenye dini wana ya update maana watu wanaongeza maarifa so kukidhi magepu lazima wa update..[emoji23]

Hapo kwenye science Kuna kitu huitwa logic hiki hawapendi hata kusikia Hawa wa dini..[emoji28]
hakuna logic kabisa huku,maana logic inahusisha vipimo na uzoefu.

ukimpima Mungu maandiko yanasema hajaribiwi,ukijifanya mzoefu yeye anaitwa mzee wa siku.

simple,hii ni imani.
 
wewe ulimnukuu aliyeleta kifungu cha bible.

biblia imemwita,MPUMBAVU anayedhani hakuna Mungu.
Biblia haijaseama kua mpumbavu amedhani hakuna mungu, biblia imesema mpumabavu amesema moyoni hakuna mungu.

Aliyedhani anakua hana uhakika, ila biblia hapa imetueleza kwamba mtu huyo ana hakika na akisemacho

Sasa nyinyi mbatatizo gani inakuaje mnashindwa hadi na wapumbavu?
 
Very interesting. Kusoma Biblia sana ndo kukakufanya usimwamini Mungu. Mi najua ingekuwa kinyume chake. Kwamba ukisoma Biblia ndo unamjua Mungu zaidi
kwako ilikuwaje. ni maandiko yapi yalikutoa kwenye mstari
tuweke wazi
wala usimbishie,hata waliosoma sana kama maprof ukichunguza hiwa kama kuna nyaya zimeungua,sembuse hayo ya imani.

ni sekunde tu,tunaanza kutokukuelewa.
 
sasa mpumbavu anatushindaje wakati yu kinyume chetu!!!

sisi tunaamini Mungu yupo.
 
kuna namna tatu ya kujibu swali mkuu.
na ukumbuke haya maswali sio kama unaulizia jina la mtu.

ni sawa na mtoto mdogo akuulize"kwanini mama yake huwa analia usiku"huwezi kurupuka kusema huwa anapigwa.
lazima upime upeo wake kwanza.
Hi tactic ya watu wadini inajulikana sana
esotericism: ni tamaduni ya kihistoria magharibi ambapo watu wenye nguvu walificha ideas zao nyuma ya pazia wakidai watu wa kawaida hawawezi kuelewa
zamani, kanisa katoliki lililazimisha mafunzo ya dini kutolea kwa lugha ya kilatini kwa sababu hiyo hiyo, mpaka martin luther alipo anzisha harakati (zilizo pingwa kikatili kwa mauaji na viti) za kuruhusu biblia kutafliwa kwa lugha kadhaa.

Utaki kujibu swali kwani ukijibu unajua nitatobua matundu kwenye argument yako
 

halafu sasa baada ya luther ndio nini kimegundulika,ambacho unahisi kilikuwa kinafichwa???
yaani wewe huna tofauti na wale wanaosema Yesu alizushiwa kwamba hakuoa!!!unajiuliza logic ya kumzushia ilikuwa ni kwa faida zake,au zao hao waliomzushia??

sijui ni swali gani ambalo umeuliza!!!!
 
Very interesting. Kusoma Biblia sana ndo kukakufanya usimwamini Mungu. Mi najua ingekuwa kinyume chake. Kwamba ukisoma Biblia ndo unamjua Mungu zaidi
kwako ilikuwaje. ni maandiko yapi yalikutoa kwenye mstari
tuweke wazi
hii ni kweli kabisa, kwani haujishtukii kwanini nchi zilizoleta dini ya kikristo na zilizoandika biblie zimeacha kuamini ukristo kwa speed ile?

Tena huko watu wa copy za biblia za mwanzoni; gospels original si tafsili za kiswahili na bado wameanza kupuuzi dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…